Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huyu Adama Barrow ni yule kibaraka ambaye Waafrika wanataka kumsika kwa nguvu huko nchini Gambia, jambo ambalo litaleta Vita, Vita mbayo haina idhini ya UNSC (UN) kama ambavyo sheria za Kimataifa zinavyotaka, hivyo ni Vita haramu, ambayo itauuwa watu wengi na kuzidi kuharibu nchi nyingine ya Kiafrika!
Habari ndo hiyo!
Habari ndo hiyo!