International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Unamfaham mmoja ya Marais wakuu Duniani? Ni Vladmir Putin Wa Russia na Misimamo yake tata dhidi ya IMANI ZA KIGAIDI Vladmir putin ndiye rais aliyeko madarakan mwenye nia ya kurudisha nguvu kubwa...
16 Reactions
60 Replies
10K Views
Saudi Arabia is cautioning President-elect Donald Trump against carrying out a threat to cut off American purchases of the kingdom's oil. Trump made the threat earlier this year, saying that if...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Takribani watu 73 wamafariki na zaidi ya 100 kujeruhiwa vibaya baada ya lori la kubeba mafuta kulipuka nchini Mozambique, taarifa rasmi ya Serikali imethibitisha. Aidha imedaiwa kuwa wananchi hao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waandamanaji karibu ya 60 nchini Brazil wamevamia ndani ya jengo la Bunge dogo la Congress, na kutaka kufanyike mapinduzi ya kijeshi kuiondoa Serikali madarakani. ==============================...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, hatimaye amemtangaza waziri mkuu mpya, atakayechukua nafasi ya Matata Ponyo Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Matata Ponyo wa chama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hisia zangu zinaniambia hivyo, kwani D.Trump ni game changer na hajachukuwa hata senti ya mtu, amelipia kampeni yake mwenyewe hivyo basi hakuna anayemdai kitu, sasa hii kwa USA siyo kawaida, hivyo...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Ndgu wanabodi, nadhani wengi mnafatilia kinachoendelea Marekani tangu jana baada ya ushindi wa Trump. Waliopga kura ni nusu ya waliojiandikisha...kushindwa kwa Hillary kumetokana na kundi hili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Marekani Polisi wamewakamata waandamaji 112 wanaompinga Trump, kati yao takribani 70 hawajapiga kura uchaguzi wa Rais wa hivi karibuni. Yaani mtu hajapiga kura lakini anakuwa mstari wa mbele...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama vile CCM ambavyo hawakuwa wamejiandaa kumpata Rais kama MAGUFULI hali kama hii ndivyo ilivyo kwa Republican kumpata Rais kama TRUMP. Wanachama wa vyama hivi wengi wao wana hofu kuu kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
REYES, BOLIVIA Wananchi walishambulia kituo cha polisi na kumchukua mshukiwa wa ubakaji kisha wakamnyonga kwa kamba hadi akafariki Jamaa huyo alikuwa amekamatwa kwa madai ya kumnajisi msichana...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Huyo ndio Trump aka mwana mieleka mzungu wa ukweli, ambae marais wa nchi nyeusi wasitegemee kabisa urafiki nae na kuombaomba misaada kwake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AND THE STATS IS HERE
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth wa Uingereza... 1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni 2. Husafiri bila passport nje ya nchi 3. Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Wanamjua Trump kuwa sera na misimamo yake iko dhahiri kuwa hawaendani. Na alishatoa maoni yake binafsi kuwa waafrika wanapaswa kutawaliwa tena. Na marais wote madikteta kama Robert Mugabe...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kituo cha habari cha serikali,cha Korea Kaskazini kimemrejelea kwa mara ya kwanza rais mteule wa Marekani Donald Trump ingawa kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Kituo hicho cha serikali kwa ufupi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais Mteule Donald Trump apanguwa tena timu yake ya mpito kwa kuwaacha nje mtaalamu wa usalama na wapiga kampeni wake wa karibu akielekea kuwachaguwa watetezi wa soko la hisa la Marekani katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
MAREKANI. Meya wa mji wa Clay, West Virginia amejiuzulu baada ya kufurahia mtu alipotoa kauli ya kibaguzi dhidi ya Mke wa Rais Obama. Mfanyakazi mmoja wa Ofisi za mji huo aliandika katika ukurasa...
6 Reactions
32 Replies
9K Views
Russian opposition politician Boris Nemtsov was shot to death in central Moscow late Friday. According to Moscow police, Nemtsov was walking near Red Square with a female companion when assassins...
4 Reactions
86 Replies
11K Views
A.Saddam's Iraq B.Assad's Syria C.Gaddafi's Libya China ndio wanatakiwa wasimamie na wasitishe Vita ya Korea na watengeneze utulivu kwenye region hizo na wawahakikishie ulinzi S Korea&N.Korea...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom