Hakika!mambo ya kucheza cheza muziki ikulu dunia imeyachoka... inataka watu wa kazi... huku msoga sasa chato.. kule obama sasa mzee trump... marekani wajiandae kuisoma namba
Kashfa tu huna lolote wewe, kaa Lumumba huko uambulie hata hiyo buku 7Hiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
Ndo azae jamani hebu niweke wazi juu ya hiloHiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
huu nadhan ni uzushi tu...otherwise uthibitishe hapa kwa picha kwamba ulishawahi kuziona nyeti zake liveHiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
Kuna watu wanapenda sana conspiracy theories kiasi kwamba kila kitu wanahisi kuna upande wa pilihalafu mbona kuna picha zake za utotoni tena nyingine kakiwa kadogo kabisa kamepakatwa na mamake kakiwa ka kike...zingine kapiga yeye na kaka ake craig.....
mkuu Barbarosa hebu tupe ufafanuzi kidogo
Hivi Michelle Obama ni mwanaume maana hii si mara ya kwanza kusikia.Hiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
Hiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
Halafu anakuja mtu ngozi nyeusi anakwambia atammiss Obama, waafrika ni watu wa ajabu sana.Walibya wanakulilia sana umeimaliza nchi ile nzuri
Obama mtu wa kazi, kazi na dawa. Ila Republicans hawakutaka afanye kazi itakayeweka kumbukumbu ya Kiongozi(Rais) mweusi katika taifa la Marekani.mambo ya kucheza cheza muziki ikulu dunia imeyachoka... inataka watu wa kazi... huku msoga sasa chato.. kule obama sasa mzee trump... marekani wajiandae kuisoma namba
Come on Barbarosa, this is too low for you!Hiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
"Don't mind him,he is confused,he is insane."Long ago, you ruined your reputation, umekuwa papparazzi tu..!! Unaandika ujinga saana kuhusu Michelle, this shows how arrogant you are, you are nasty, immoral.. did you do transgender to Michelle..? Nonsense..!!
Hebu ishibishe tafadhaliHiyo siyo familia kama tujuavyo familia yaani Baba, Mama na Watoto, huyo Michelle ni Mwanaume, au kwa neno la kisasa transgender!
Nitamiss mapicha jamaniiiiiii.
Hii familia naipenda sana.