Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Trump amesema NATO kama ukimuuliza yeye ni kwamba imeshafikia ukomo wake kuanzia Januari 20!
Hili dubwasha NATO ndilo lililomuua Gadafi chini ya Obama na Clinton, sasa Trump amesema USA haitatoa hela yake tena kulifadhili!
Trump says NATO is obsolete but still 'very important to me'