kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,423
- 13,935
Gadaffi hakupaswa kufa mikononi mwa mwafrika mwenzake, Obama. Jiinamizi la Gadaffi halitamwacha obam hata kidogo. Sikuona alichofanya Afrika zaidi ya kumuua Gadaffi ambaye alikuwa mchangiaji mkubwa wa gharama za kuuwndesha umoja w afrika. Subiri aonfoke madarakani aone namna dhambi aliyowafanyia waafrika wenzake itakavyomtafuna.