Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
1. Ghadafi Aiomba Msamaha Afrika kutokana na Biashara ya Utumwa iliyofanywa na Waarabu
Kwa viongozi wa Kiarabu, au hata kizungu hakuna aliyekuja front na kulaani biashara ya Utumwa waliyofanyiwa, Hata hivyo Muaammar Ghadafi mwaka 2010, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya kifo chake, alitoa Kauli ya kuwaomba msamaha Waafrika kwa madhila ya Utumwa waliofanyiwa na Waarabu miaka mingi iliyopita
Ghadafi alisema hivi:
"I regret the behavior of the Arabs… They brought African children to North Africa, they made them slaves, they sold them like animals, and they took them as slaves and traded them in a shameful way. I regret and I am ashamed when we remember these practices. I apologize for this," Gaddafi said on Sunday at the Second Afro-Arab summit in Sirte, Libya, Reuters reported.
Zimbabwean President Robert Mugabe, Sudanese President Omar Hassan al-Bashir, and a number of other African heads of state attended the summit.
Gaddafi also warned leaders about an increasing threat of annexation and division in Africa in the event that the Sudanese decide to split the country into two states.
Oil-rich Southern Sudan plans to hold a referendum in January 2011 on whether it should remain part of Sudan or establish an independent state.
SOURCE: PressTV - Gaddafi apologizes for Arab slave traders
2. Ghadafi atoa Dola Milioni 300 ( Shilingi Bilioni 660) Kusaidia kuweka Satelaiti kwa ajili ya Afrika
Hapo mwanzo Nchi za Kiafrika zilikuwa zikitumia Satelaiti za Ulaya na nchi nyingine, Kitu ambacho kilikuwa kinaongeza Gharama sana kwa Watumiaji, ndipo Ghadafi akatoa hela hii ili kuweka Satelaiti angani kwa ajili ya kuhudumia nchi za Kiafrika, Katika Kufinance Satelaiti hiyo Wadau wengine waliochangia ni Africa Development Bank Dola Milioni 50, na West Africa Development Bank Dola milioni 27
SOURCE: When Gaddafi rescued Africa financially
3: Ghadafi atenga Dola Bilioni 97 (Shilingi Trilioni 200) Kwa Ajili ya Kuwekeza ndani ya Africa
Ghadafi alikubali Mpunga huo akiwa na lengo la kuikomboa Africa kutoka katika Unyonyaji wa Mataifa Makubwa, Ghadafi alisema anaweka hela hizo kwa sharti mojawapo kwamba, Rushwa ipigwe vita. Hata hivyo Kabla azimio hilo halijafanikiwa, Wale Mabwana wakubwa kwa kuwatumia waasi wakaivamia Libya na hatimaye kukwamisha mpango huo
SOURCE: Gaddafi Placed $97 Billion On Table To Free Africa From Imperialism
4. Libya ya Ghadafi iliwekeza Sana Afrika
Miongoni mwa Investments zilizokuwa zikifanywa na Kampuni zinazomilikiwa na serikali ya Libya ni uwekezaji katika nchi mbalimbali Afrika, kwa mfano kwetu Tanzania tulikuwa na ile Hoteli ya Ufukweni ya Bahari beach, hiyo ilikuwa ni Hoteli ambayo serikali ya Libya ilikuwa na Hisa nyingi
5. Ghadafi alikusudia Afrika itumie Pesa moja
Alikuwa na mpango wa Kutengeneza Dinari ya dhahabu, yaani pesa ambayo ingepata thamani yake kutokana na kuwa backed na dhahabu, Pesa hii bila shaka ingetoa changamoto ya ushindani kwa pesa kama vile dola, Franc, na Pound maana bidhaa za Afrika kama vile mafuta, Dhahabu, Almasi, Gesi, na rasilimali kibao zingekuwa zinanuliwa kwa pesa hiyo kitu ambacho kingesababisha uhitaji wa dinari hiyo duniani na kupunguza matumizi ya dola, pound na franc pindi biashara na Afrika ingefanyika, Hii ilikuwa ni tishio kwa nchi za Magharibi na ni sababu mojawapo ya kupigwa kwake!
6. Ghadafi aliisaidia ANC kifedha kipindi inapambana na Makaburu
Miongoni mwa Watu walitoa mchango kwa ANC kifedha kwa miaka mingi sana wakati ikipambana dhidi ya Ukaburu ni Libya ya Ghadafi, Hata baada ya Mandela kutoka Jela alikwenda kwa gari Libya ili kutoa Shukrani yake kwa Muammar Ghadafi, Mandela alisema " Hakuna mtu aliyepolisi wa dunia kuwaamulia watu kitu cha kufanya, wale wote wanaotaka mimi nisitembelee Libya ni watu wanaotaka sisi tusiwe na shukrani kwa marafiki zetu waliosimama nasi wakati wa uhitaji wetu"