Adama Barrow kuapishwa leo nchini Senegal

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,535
Rais Mteule wa Gambia, Adama Barrow amesema kuwa ataapishwa kama ilivyopangwa siku ya leo Alhamisi katika ubalozi wa Gambia nchini Senegal.

=======

Screenshot from 2017-01-19 13:50:31.png


Gambia's president-elect, Adama Barrow will be installed as Gambia's new President, today, January 19, at the Gambian embassy in Dakar, Senegal, Nigerian Bulletin reports.

Barrow, in a tweet, said: “I would like to inform you that the Inauguration Ceremony is going to take place at the Gambian Embassy in Dakar, Senegal.”

On Wednesday, January 18, the president-elect said: "We made history on the first day of December. Our future starts tomorrow."

Gambia's president-elect, who won the 1 December 2016 election, is currently in Senegal under protection as ECOWAS troops have entered the tiny West African country to force Jammeh out as his term elapses today.

Meanwhile, Gambian Army at Command Centre Kanilai are joining ECOWAS forces to remove President Yahya Jammeh.

This is coming as troops from Senegal, Ghana, Nigeria, Mali and Togo massed at the borders of Senegal, waiting for a green light to intervene and unseat Jammeh, who according to the constitution is no longer the country’s legitimate ruler.

It was also gathered that Gambian soldiers have withdrawn from strategic areas near the country’s borders with Senegal as ECOWAS soldiers prepare to move in.
 
Kwann ahapishiwe ktk ardhi ya nchi nyingine? hakuta kuwa na mkanganyiko kisheria? Maana kina lipumba ni wengi Africa hii wanaweza tumia hiyo fursa kufanya yao.
Ardhi ya ubalozi ni ardhi ya nchi inayoiwakilisha...ndo maana ubalozi unapokabidhiwa kwa nchi husika, udongo wa nchi hizo huchanganywa.
 
Kwann ahapishiwe ktk ardhi ya nchi nyingine? hakuta kuwa na mkanganyiko kisheria? Maana kina lipumba ni wengi Africa hii wanaweza tumia hiyo fursa kufanya yao.
Mkuu Kwa mujibu wa Mkataba wa Vienna Ubalozi ni nchi ndio maana ukifanya makosa ukikimbilia ubalozi wa nchi yeyote police hawawez kukukamata
 
Ardhi ya ubalozi ni ardhi ya nchi inayoiwakilisha...ndo maana ubalozi unapokabidhiwa kwa nchi husika, udongo wa nchi hizo huchanganywa.
Ni ardhi ya Gambia ki nadharia tu lakini pia mtu huyu kachaguliwa na raia wa Gambia ilipaswa ahape mbele ya umma wa wagambia na si kwingineko... Ukitilia maamani jeshi la Gambia linadai alita pambana na majeshi yanayopelekwa kule!

#@Bill
 
huyo bila shaka atakuwa nyumbu wa Lumumba. Umemjibu vizuri sana mkuu.ila Nina mashaka atarudi tena na maswali ya kutaka ku- justify jambo Fulani.
Hili si jukwaa la vyama vya siasa ni jukwaa la watu wote, jaribu kuchunga kauli zako.
 
Hii muvi nzuri sana.
Rais Adama Barrow atakuwa na nguvu kisheria kuomba msaada wa kumwondoa jamaa aliyevamia Serikali halali ya Gambia.
 
Naona senegal mbinu ya kurudisha koloni lao Gambia imefanikiwa barrow ndo rais wa kwanza duniani kuapishwa ndani ya ubalozi tena nje ya nchi yake
 
Back
Top Bottom