technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,494
- 50,965
Yahya Jammeh amejiongezea miezi mitatu wakati akijua kabisa hawezi shinda vita yeyote itakayoanzishwa na nchi hata moja tu ya west Africa.
Senegal pekee Kwa ramani hii anaweza kuipiga Gambia hata ndani ya wiki moja hivi unawezaje kuipiga nchi ambayo imekuzunguka kila upande?....
Hivi nchi kama hii Kwa geographic location aliyonayo wanaweza kupigana na nchi zaidi ya moja tena zilizo Jirani Kwa muda mrefu bila kusambalatika?...
Ningekuwa msashauri Wa Jammeh ningemshauri ahachane na mpango wake Wa kutaka kuanzisha vita na Senegal, Nigeria na Liberia wakati anajua kabisa hatashinda.....