Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nchi ya Korea Kaskazini imemwambia Raisi Obama ambaye anamaliza muda wake hapo Ijumaa Januari 20, awekeze muda kwenye kufungasha mizigo yake na siyo kuwekea nchi mbali mbali vikwazo vya kiuchumi!
North Korea to Obama: Focus on moving, not human rights record - CNNPolitics.com
North Korea to Obama: Focus on moving, not human rights record - CNNPolitics.com