Hii kitu waliyofanya ECOWAS kuhusu Gambia na Jammeh yaweza kuwa dawa sahihi kwa ving'anizi wa madaraka. Hivi EAC yaweza thubutu kukaa nakufikiri hatua kama hii?
Wajumbe wake ni hawa wafuatao:
Wajumbe wake ni hawa wafuatao:
- John Pombe Magufuli wa Tanzania
- Ali Mohamed Shein wa Zanzibar (bila kujali ni nchi au sio nchi)
- Uhuru Kenyata wa Kenya
- Yoweri Mseven wa Uganda
- Paul Kagame wa Rwanda
- Piere Nkurunziza wa Burundi
- Salvakil Muruzi wa South Sudan
- Lakini kuna na jirani yetu Joseph Kabia wa DRC