Sherehe za kumwapisha Rais mteule wa Marekani.

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
Tayari Rais mteule bwana DONALD TRUMP na familia yake wameshaingia ndani ya white house jijini Washington. Toa neno la kumtakia kazi njema inayoanza siku ya leo Tr. 20/01/2017
**************************************

Updates:

Rais mstaasu bwana G. W Bush naye atakuwapo ndani ya Jiji la Washington kuhudhuria sherehe hizo
 
Siku ya inauguration yake mtoto ataye fungua kwa kuimba sijui naye atalimwa shaba baada ya sherehe hizo

Kama yule wakati wa Obama nadhani alikuwa anaishi Chicago
 
Namtakia kila la kheri katika utawala wake. Nampenda sana DT kutokana na misimamo yake isiyoyumba.
 
US wako nyuma kwa Tanzania for 9hours,sasa kama Tanzania saa hizi ndo kwanza tarehe 20 inaanza,hiyo ya marekeni imefika saa ngapi? Aibu yako
Masaa 7 brother. Ikiwa huku ni saa 1 usiku wao saa sita mchana
 
ABRACADABRA ABRACADABRA ABRACADABRA. ...AMEN RA AMEN RA AMEN RA
 
US wako nyuma kwa Tanzania for 9hours,sasa kama Tanzania saa hizi ndo kwanza tarehe 20 inaanza,hiyo ya marekeni imefika saa ngapi? Aibu yako
Kisheria, rais anafaa kuapishwa kabla ya saa sita mchana saa za Amerika Mashariki ambazo Afrika Mashariki ni saa mbili usiku.

Hii hapa ni ratiba fupi ya matukio yanayotarajiwa siku hiyo.

Saa 17:30 (Saa za Afrika Mashariki) Wanamuziki walioalikwa wataanza kutumbuiza.

19:30 Hotuba za kufungua sherehe zitaanza kutolewa.

20:00 Muda mfupi kabla ya saa Mbili Afrika Mashariki Donald Trump atalishwa kiapo cha kuwa rais wa Marekani na Jaji wa Mahakama ya Juu John Roberts.

Baadaye, kutakuwa na msafara baada ya sherehe ya kuapishwa ambao utaanza katika vidato vya jumba la Capitol Building kuelekea ikulu ya White House kupitia barabara maarufu ya Pennsylvania Avenue.

Bw Trump na mkewe Melania baadaye watacheza densi katika matamasha matatu, mawili katika ukumbi wa mikutano wa Walter E Washington na jingine katika ukumbi wa Jengo la Makumbusho ya Taifa.

Chanzo: BBC
Code:
 http://www.bbc.com/swahili/habari-38679550?ocid=socialflow_facebook

PRESIDENT DONALD TRUMP LIVE NEWS COVERAGE 24/7 (HD)
 
Back
Top Bottom