Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mimi kwa kweli napenda sana kujichanganya bar za uswazi na club yoyote. Kupanda usafiri wowote un-noticed, Napenda sana kuingia katikati ya mikusanyiko ya watu bila ya watu kupata attention yoyote . Napata maisha mataamu sana. Nakutana na vitu vizuri tu muda wote. Mimi najua kabisa hawa mapresident hawapati muda ya kula utamu wa nchi yenye maziwa na asali.
Ninavyojua Rais halali kabisa ni kazi nzito sana. Na uchovu ni mwingi sana. Nataka kujua kwanini wanang'ang'ania Ikulu?
Ninavyojua Rais halali kabisa ni kazi nzito sana. Na uchovu ni mwingi sana. Nataka kujua kwanini wanang'ang'ania Ikulu?