Kama wanajeshi wamemgomea Jammeh, kwanini wasimkamate?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Vyombo vya Wazungu na watumwa wao wanaripoti kwamba Jeshi la Gambia halipokei tena Amri ktk kwa Raisi Jammeh, kama hivyo ni kweli kuna haja gani sasa ya kuivamia nchi ya Gambia? Ni kwa nini wasitumie hata Polisi tu kumkamata? Kwa nini waingie gharama ya kutuma Majeshi?

Wazungu wanwachezea kwa sababu wanajua Waafrika ni kama watoto hawajui kureason!

Muafrika ni mutoto wa Muzungu!
 
Hizo ni nchi zinazo fuata KATIBA hizo ni taasisi mbili tofauti ambazo haziingiliani kama bongo rais ana jeshi na polisi
 
Yah, logic iko wapi? Kwa maana mpka sasa ina maana Gambia haina Raisi halali kwa mujibu wa Wazungu na watumwa wao, na ndiyo maana wameamua kuivamia, sasa kwa nini wasimkamate ili kuokoa maisha ya watu kama Jeshi linalomlinda limeshakataa kutii Amri yake?
 
Wanasubiri muda wa Urais kikatiba uishe ili washughulike naye kama raia au Rais Mstaafu.
 
Haujaelewa hata wewe, mpka sasa hvi Gambia hakuna Raisi kwa mujibu wa Wazungu na Jeshi halipokei Amri tena ktk kwa Jammeh, sasa kwa nini waivamie Gambia? Logic iko wapi? Ni kwa nini tu wasimkamate kwa maana si yupo tu!
 
Haraka ya nini wewe subiri dikteta mwenzenu anyooshwe, atakuja kukupa habari zake.

Hata wewe ni mgumu kuelewa na ndiyo watu ambao Wazungu wanawataka kuwachezea, kuna haja gani ya kuivamia nchi Kijeshi kama Jeshi la hiyo nchi kwa umoja wake limeshagoma kuchukuwa Amri ya Kiongozi wake?
 
Vyombo vya Wazungu na watumwa wao wanaripoti kwamba Jeshi la Gambia halipokei tena Amri ktk kwa Raisi Jammeh, kama hivyo ni kweli kuna haja gani sasa ya kuivamia nchi ya Gambia? Ni kwa nini wasitumie hata Polisi tu kumkamata? Kwa nini waingie gharama ya kutuma Majeshi?

Wazungu wanwachezea kwa sababu wanajua Waafrika ni kama watoto hawajui kureason!

Muafrika ni mutoto wa Muzungu!
Ni kutokana na mnavyoendesha nchi zenu, ona sasa hapa mnakanyaga katiba waziwazi! Wewe uende na polisi umkamate, wao wanataka jeshi liingie. Africans are still undergoing evolution. Need 100 yrs of evolution!
 
Hata wewe ni mgumu kuelewa na ndiyo watu ambao Wazungu wanawataka kuwachezea, kuna haja gani ya kuivamia nchi Kijeshi kama Jeshi la hiyo nchi kwa umoja wake limeshagoma kuchukuwa Amri ya Kiongozi wake?
Mkuu, kuna nchi gani ya Kuzungu iliyopeleka majeshi yake Gambia ? Kumbuka huyo Rais wako alishindwa kupitia sanduka la kura, subiri ECOWAS waingie halafu alete upinzani ndo utaona kama hatakamatwa. Kumbuka pia mpaka sasa ni kikatiba bado ni Rais mpaka saa 6.00 usiku.
 
Tulia ondoa jazb,a vuta pumzi ndefu halafu soma tena, ni hivi ni hivi Wazungu wanasema Jesi la Gambia limegoma kupokea Amri ktk kwa Jammeh ina maana hana Jeshi ni mtu baki tu sasa kwanini uvamizi?
 
Tulia ondoa jazba vuta pumzi ndefu halafu soma tena, sijasema Nchi ya Kizungu inavamia bali nimesema Wazungu wanasema, yaani wanatangaza kwenye vyombo vyao vya Habari kwamba Jeshi la Gambia halipokei tena Amri ktk kwa Raisi Jammeh, ndo nauliza sasa kuna umuhimu gani wa kuvamia? Wanakwenda kupigana dhidi ya nani?!
 
Tulia ondoa jazb,a vuta pumzi ndefu halafu soma tena, ni hivi ni hivi Wazungu wanasema Jesi la Gambia limegoma kupokea Amri ktk kwa Jammeh ina maana hana Jeshi ni mtu baki tu sasa kwanini uvamizi?
Wanaposema Jeshi sio jeshi lote lililogoma, atakuwa na vibaraka wake wachache kama wewe vile ambao wanamtii, hawezi kuwa sasa hivi kakaa peke yake nyumbani kwake.
 
Hata wewe ni mgumu kuelewa na ndiyo watu ambao Wazungu wanawataka kuwachezea, kuna haja gani ya kuivamia nchi Kijeshi kama Jeshi la hiyo nchi kwa umoja wake limeshagoma kuchukuwa Amri ya Kiongozi wake?
Hakuna mzungu hata mmoja ni vikosi vya ECOWAS kutoka Senegal, Nigeria, Mali, Ghana na nchi zingine za Afrika magharibi ndio wako tayari kumnyosha dikteta uchwara wa Gambia.
 
Lakini kunyoosha nini kama Jeshi ambalo linapaswa kumlinda Jammeh limeshakataa kufanya hivyo?
 
Tulia ondoa jazb,a vuta pumzi ndefu halafu soma tena, ni hivi ni hivi Wazungu wanasema Jesi la Gambia limegoma kupokea Amri ktk kwa Jammeh ina maana hana Jeshi ni mtu baki tu sasa kwanini uvamizi?
Kwa usalama huwezi kuwa mwepesi wa kuamini maneno toka kwa "watu" wa dikiteita. Unaedelea na plan zako, ukikuta hakuna resistance you play it calm!
 
Wanaposema Jeshi sio jeshi lote lililogoma, atakuwa na vibaraka wake wachache kama wewe vile ambao wanamtii, hawezi kuwa sasa hivi kakaa peke yake nyumbani kwake.

Wamesema Jeshi la Gambia limesitisha kupokea Amri ktk kwa Jammeh, ina maana jeshi la nchi ya Gambia haliko upande wake, na ndioy swali langu wanakenda kuvamia kupigana dhidi ya nani?
 
Back
Top Bottom