International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Katika tafiti iliofanywa na Japan Family Planning Association imegundua kua 49.3% ya watu wa japan (1120) waliofanyiwa utafiti wamekiri kutofanya mapenzi kabisa kwa kipindi cha mwaka mmoja...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
tu msaidie vipi cause hii issue imeniuma kinoma.Ok wadau wa nje ya nchi please mtu afungue go fund ili tumsaidie na family Yake aisee.Very sad in deed.Next week is christmas familia Yake umuone...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ya Ujerumani ikiongozwa na waziri wa Sheria Heiko Maas inatarajia kuwawekea vikwazo ikiwepo FAINI makampuni makubwa ya Mitandaoni Facebook na GOOGLE kama hawatafuta Hotuba za Chuki kwenye...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Binti wa rais wa zamani wa Msumbiji Armando Guebuza (alistaafu mwaka 2014 baada ya kutumikia vipindi viwili) amepigwa risasi kadhaa na kufariki akikimbizwa hospitali jana jumatano. Binti huyo...
1 Reactions
50 Replies
14K Views
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa anayemaliza mda wake Mh Ban Ki Moon ameonesha interest ya kugombea Urais wa nchi yake mara baada ya kumaliza nafasi yake ya sasa. Ikumbukwe kuwa Korea ya Kusini iko...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Zaidi ya wafungwa 800 nchini Rwanda wameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kupewa msamaha na Rais Paul Kagame hii leo.. source: DW Hii ana maana gani? analenga nini?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania to ban exporting raw products The government of Tanzania is set to outlaw the export of raw materials in order to inspire investors to process all products locally. Tanzania’s Prime...
1 Reactions
0 Replies
819 Views
A Standard five pupil is nursing severe burns at the Mt Elgon Hospital in Kitale, Trans Nzoia County after she was assaulted by her stepmother. The 10-year-old girl was burnt for allegedly...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Uchaguzi wa Rais wa USA ulio fanyika mwaka 1960, ulikuwa ni kati ya Richard Nixon wa Republican ambaye alikuwa pia ndiye makamu wa rais kwa wakati huo VS John Kennedy wa Democrat aliyekuwa...
2 Reactions
0 Replies
902 Views
I didn’t want anyone to know. I was afraid of what would happen if my family found out,” were the words of Miss Hope from South Africa as she shared her experience of how she started to bleed from...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Akiwa na umri wa miaka 85, Mikhail Gorbachev anasumbuliwa na maradhi mbali mbali yatokanayo na umri wake. Hata hivyo bado ni mtu mcheshi, mwenye bashasha na kumbukumbu nzuri kuhusu yale...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
[emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230] [emoji230]
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ok habari ya Max imewafikia number one cable news in USA .Human rights group washaanza kumwita magufuli dictator.Mnajua habari Kama hii ikifika Fox mjue Magufuli amejiharibia.Tucker Carlson ,will...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Peace and prosperity to my fellow Africans down south as they mark the end of one of the worst systems of atrocities (apartheid).
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Kiongozi wa Gambia Yahya Jammeh mara baada ya kupinga matokeo ya urais na kudai matokeo hayo yamechakachuliwa hivyo ameamua kupinga kwa kupeleka madai yake mahakama kuu.Maamuzi aliyoyachukua Yahya...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Ok habari ya Max imewafikia number one cable news in USA .Human rights group washaanza kumwita magufuli dictator.Mnajua habari Kama hii ikifika Fox mjue Magufuli amejiharibia.Tucker Carlson ,will...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nearly 1,000 civilians and 26 wounded people have been evacuated in buses and ambulances from a besieged rebel-held enclave in the Syrian city of Aleppo. The International Committee of the Red...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
African leaders head to Gambia for mediation talks Msimamo wa dunia kuhusu uhuni wa Yahya Jammeh pia ni hukumu ya dhulma ya kufutwa uchaguzi wa Zanzibari. Justices for Gambia.Justice for Zanzibar.
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Utumwa ni jambo lililokuwa linadhalilisha sana Utu wa binadamu hasa waafrika ambao ndiyo walitumika kwa kiasi kikubwa katika biashara hiyo, watu walipatwa na madhara makubwa kutokana na biashara...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, ameitisha mazungumzo ya kitaifa yatakayomaliza vita vya vya miaka mitatu vya wenyewe kwa wenyewe. Akihutubia bunge mjini Juba, amesema jopo la wataalam litaongoza...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Back
Top Bottom