Adama barrow awasili Gambia huku mamilioni ya wana Gambia yakijitokeza
Kumlaki rais huyo chanzo
Ikulu Gambia
Kwani mamilions inaanzia ngapi mkuuWananchi wa Gambia hawafiki 2M hao mamilioni wametoka wapi?
Bado mmojaHizi salamu ziwafikie kina Museven, Mugabe, Nkurunziza na wengine kama wao, nguvu ya uma si ya mchezomchezo.
Iwe ni makumi, mamia, maelfu au mamilioni, hapa linalozungumzwa ni jinsi watu walivyompokea kwa wingi wao...Eti mamilioni wamlaki Barow! Gambia yenyewe ina watu 2,093,013 from age 0 to 120+ sasa sijui hao mamilioni wa kumlaki tena mji mkuu peke yake yanatoka wapo? At least, maelfu could sound better than mamilioni.
Banjul, the capital and most populated city of Gambia ambapo ndipo shughuli ya kulaki imefanyika ina watu 34,589 less than Mabibo[94,523]; Wazo[100,134]; Saranga[114,800]; or even Hananasif[40,920] in Kinondoni Municipality. Halafu humo watoke mamilioni! How?
Raia ww Gambian waonesha furaha yao
Kwakuwasili rais mpya Wagambia
Adama barrow baada yakuwasili mamilioni yawana Gambia walijitokeza kumlaki
Huku msafara ukiwa chini ya ulinzi mkali
Chanzo:ikulu Gambia
Eti mamilioni wamlaki Barow! Gambia yenyewe ina watu 2,093,013 from age 0 to 120+ sasa sijui hao mamilioni wa kumlaki tena mji mkuu peke yake yanatoka wapo? At least, maelfu could sound better than mamilioni.