Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nimesikia kuna mpango haramu wa nchi za Kiafrika kutaka kuivamia kivita nchi ya Gambia kwa lengo la kutaka kumtoa kwa nguvu Raisi wa nchi hiyo na kumsimika mpinzani!
Sasa swali langu kipi kina umuhimu zaidi Boko haramu Nigeria ambao wameua na wanaendelea kuuwa raia wasio na hatia au Raisi wa Gambia ambaye hajamuua wala kumtishia yoyote yule?
Kwa nini nchi za Kiafrika zisivamie Nigeria kwanza?