Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hii natabiri kutokea, Waafrika wavamizi haramu ambao wako nchini Gambia mpka leo, siku wakitoa tu mguu Kibaraka Barrow anapigwa chini, hilo halina ubishi pamoja na propaganada nyingi zinazoendelea lkn ukweli ni kwamba Wagambia hawamtaki huyu Kibaraka na uchaguzi ulikuwa rigged na Wazungu pmj na vibaraka vyao ili kumsimika Barrow!
Wazungu na vibaraka wao wa Kiafrika wamekuwa wakituambia kwamba Jeshi halimtii tena Jammeh, sasa majeshi ya Afrika yanafanya nini nchini Gambia? Na siku yakiondoka tu huyo Barrow labda waende naye,...