Tanzania Yawa kati ya nchi hatari kisiasa na kiuchumi kwa wawekezaji

LOSEJMASAI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
332
856
Shirika la Bloomberg Politics la nchini Marekani limeiweka Tanzania kati ya Nchi 16 hatari kisiasa na kiuchumi kwa wawekezaji.

The Bloomberg Country Risk Score is a composite of 29 indicators representing financial, economic and political risks facing investors. Risk scores are calculated on a monthly basis and range from 0 to 100, with a higher score indicating less overall risk relative to other countries.

upload_2017-1-22_15-25-16.png

Lakini pia kenya inaoneshwa kuwa na hali mbaya sana kwenye swala la Unemployment na Inflation forecast.
upload_2017-1-22_15-23-50.png

Global Risk Briefing
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tanzania ipo kwenye
-Nchi maskini zaidi duniani
-Nchi zenye watu wasio na furaha
-Nchi zenye hatari ya kisiasa
-Nchi ambazo wananchi wake huongea sana kuliko kufanya shughuli nyingine zozote

Yaan kwa majanga hayo tuu, nchi hii ni shda kwa kweli.
 
Endeleeni kutafuta utafiti wa mabaya yote ya nchi yetu, ila mtanyooka tu awamu hii.
 
-matamko lukuki
 
endeleeni kumchokonoa bata, mkimaliza mtakuta wengine weshapiga hatu mbali
 
Endeleeni kutafuta utafiti wa mabaya yote ya nchi yetu, ila mtanyooka tu awamu hii.
Tumefikia hatua ya kuzuia exports za mashudu, machungwa, nyanya na vitunguu..Ni mwekezaji gani kichaa atakuja kuwekeza kwenye uharo huu... It make sick to my stomach!!!!
 
Hakuna cha bure kama walidhani kwa sababu ya umasikini wangekuja kupata kiulaini imekula kwao na ukumbuke hizo takwimu waliotoa ni wazungu lakini sisi tupo na wachina ndio wawekezaji wakweli
 
Hakuna cha bure kama walidhani kwa sababu ya umasikini wangekuja kupata kiulaini imekula kwao na ukumbuke hizo takwimu waliotoa ni wazungu lakini sisi tupo na wachina ndio wawekezaji wakweli
huyo mchina wako anaheshim takwimu anazopewa na Wazungu (IMF) We cjui unaongea vitu gani!
 
Endeleeni kutafuta utafiti wa mabaya yote ya nchi yetu, ila mtanyooka tu awamu hii.
Ila yanapokuwepo ni lazima kuyajua ili tuweze kuona wapi pa kudai parekebishwe na watawala wetu...au we hutaki kujua mambo yanayoweza kukupa hasara au hata sifa mbaya kwa jamii yako.!!!
 
ILA hapo kwenye Bloomberg risk Tanzania inaonekana haiko vibaya Sana ukilinganisha na jirani zako,
Mfano: Kenya risk = 7.3
reserves = 7.3% high risk
unemployment = 10.8% high risk
inflation = 6.3% high risk

Tanzania risk = 3.6
. reserves = 5.5% low risk
unemployment = 2.7 low risk

So uwezekana WA kuzikava n mkubwa na kwa ghalama nafuu kuliko wenzetu.

Ukitaka uhakiki zaidi tembelea tovuti ya .Bloomberg politics.
 
Back
Top Bottom