Chile: Moto wa nyika waangamiza mji wa Santa Olga

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
_93833018_ba862c34-e707-47a2-8a96-2449622cb3ee.jpg

Watu 6,000 wameyakimbia makazi yao na mmoja amefariki dunia baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya Mji wa Santa Olga nchini Chile.

Mataifa yameanza kutuma wazima moto nchini Chile kusaidia taifa hilo kukabiliana na moto mbaya zaidi katika historia ya taifa hilo.

Urusi imetuma ndege yenye uwezo wa kubeba tani kadha za maji kujaribu kusaidia kuzima moto huo wa nyika.

_93833019_c2472dd4-32e4-4cac-bbef-89265c596482.jpg

Moto huo umeenea kwa kasi sana maeneo ya kati ya Chile, ambapo unasaidiwa na upepo mkali, kiwango cha juu cha joto na hali kwamba maeneo hayo yamekabiliwa na kiangazi kwa muda.

Mji Santa Olga, unaopatikana kilomita 240 kusini mwa Santiago umeharibiwa kabisa na moto huo.

_93833022_169b998f-75f2-4b7a-90ea-d548fec52a15.jpg

_93833020_beece0d1-7fad-4aae-b85a-b8d5ce84a7f3.jpg

_93833021_e9069464-a8a5-46f0-9b8c-4cbbe05a4e76.jpg

_93833023_4a544670-b20d-411c-8ded-5bfe2c950340.jpg

Chanzo: BBC/Swahili
 
Na.muslims wataongea nn kwa hili tena??

Allah au??
Ha ha ha. Ule wa Israel walifurahi na kusujudu sana eti jamaa katenda miujiza kumbe mihuni ya kiarabu. Hata mm nasubiria comments za huu. Wanajifanya hawajausikia.
 
Ha ha ha. Ule wa Israel walifurahi na kusujudu sana eti jamaa katenda miujiza kumbe mihuni ya kiarabu. Hata mm nasubiria comments za huu. Wanajifanya hawajausikia.
Wafia dini yeyote ile ni WOGONJWA

Maana huwa siwaelewi
 
Kuna watoto wazuri katika hii nchi maamae. Dah Chile!

Siku nikidondoka ukanda wa Amerika ya Kusini basi zoezi la kurudi inabidi bunge likae na baraza la usalama la UN litume jeshi kuniondoa duh watoto wa kule kama malaika wametoroka peponi maaaaninaaa zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom