Trump Asema kinywaji cha CoCa Cola Ni Takataka

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
59455f2d48f1030269906c584358f4c5.jpg
 
Huyu jamaa naye naona kaamua kuwashugulikia wapinzani Wa biashara ya marekani

Cocacola si ni UK hawa"
Mzee hicho ni kinywaji chao kutoka Atlanta, Georgia sawa na Pepsi Cola zote ni za kwao ila Pepsi cola ni ya New Bern, North Carolina wala si UK. Ila sema inatengenezwa nchi nyingi kama trademark
 
Trump hajataja moja kwa moja hicho kinywaji anachokiita garbage. Ila tu amesema kampuni ya Coca cola haimfurahii.
Ikumbukwe Coca Cola Company wanazalisha vinywaji mbalimbali.
 
Mleta mada una maslahi binafsi dhidi ya coca cola kwani kichwa cha habari hakioani na kilichoandikwa
 
Mkuu unaonaje hicho kichwa cha habari ukakiweka kwa kingereza?..maana hii tabia ya kuandika "ulipoelewa tu" ktk sentensi nzima inashida!

"...........nitaendelea kunywa huo uchafu.".....
Hakuna lugha rasmi hapa, mbona mnashobokea kiswahili ? Hizi ni lugha za kienyeji, achana nazo go international!
 
Ila kweli, Coca-Cola haifai;
ninayo Fanta iliyojaa uchafu nimeificha hapa
nategemea kuwa milionea kupitia hiyo,
ngoja nimtweet huyu mheshimiwa nimtumie picha.
 
Back
Top Bottom