International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ripoti kutoka Yemen, zinaeleza kuwa shambulio, lililofanywa na makamando wa Marekani, limeuwa watu kama 30, wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Qaeda na raia. Hata hivyo jeshi la Marekani linasema...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika wiki ijayo utakuwa ni mtihani mkubwa Kwa taifa taifa hilo kubwa duniani. Kura ya maoni kwasasa inaonyesha kuna mchuano mkali sana kwa wagombea hao wawili...
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Trump na Putin wazungumza kwa mara ya kwanza kwenye simu toka Trump kuapishwa! Baadae itafahamika vizuri walichoongelea!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wana jamvi salaam Kuna wakati fulani katika kampeni za Urais wa Marekani, Mke wa Rais wa sasa wa Marekani Bi Melania Trump aliulizwa na CBS news network kwamba ni kitu gani angemshauri RaisTrump...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna jambo la kushangaza sana kwa viongozi aina ya Trump jinsi wanavyoweza kupata wafuasi wajinga wajinga wengi mno wa kuwapigania na kuwaaminia hata jambo la uongo kabisa. Juzi imetangazwa kuwa...
9 Reactions
76 Replies
9K Views
Tazama mjadala wa habari hii ukisomwa kwenye JamiiLeo ===== Muda mfupi uliopita Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ajira zote kwa muda (hiring freeze) isipokuwa za kijeshi tu kwenye...
4 Reactions
211 Replies
23K Views
0 Reactions
10 Replies
2K Views
#KIMATAIFA:Mvutano umeibuka baina ya Mexico na Marekani baada ya Rais Donald Trump kutoa agizo la kujengwa ukuta mpakani mwa nchi hizo mbili ili kuzuia wahamiaji haramu na kuitaka nchi ya Mexico...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Carlos Slim on Trump's border wall plans: 'The best wall is investment' Mexican billionaire praises US president as ‘great negotiator’ but calls for development and employment rather than barrier...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waliofanyakazi na Obama wote wajiuzulu serikalini Gazeti la Washington Post limeandika kuwa, kujiuzulu kwa wakurugenzi na maofisa wote wa ngazi za juu ni sehemu ya mwenendo wa kuachia ngazi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Samwel Doe wa Liberia Aliingia Madarakani kwa Mbwewe za Kuwapiga Risasi hadharani Watendaji wa Serikali kwa madai ya rushwa Hila, Uonevu na ufisadi. Alishangiliwa sana, Nafikiri ni sawa kupigana...
5 Reactions
72 Replies
11K Views
Rais wa Marekani Donald Trump aunga mkono mfumo wa kuwatesa magadi, asema lazima watumie moto kupigana na moto, hamna cha huruma au haki za kibinadamu wala nini. Finya, kandamiza, fyonza, piga ua...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Miezi michache iliyopita Mbowe, Tundu Lisu na chadema kwa ujumla walifunga safari kwenda Ulaya kuishitaki nchi yetu kwa Mzungu, kwa walichokiita ukandamizaji wa demokrasia kwa jinsi waonavyo wao...
13 Reactions
69 Replies
8K Views
Rais mpya wa Marekani Donald Trump amepiga marufuku wakimbizi wote wa Syria kuingia Marekani hadi wakati anasema serikali yake itakuwa imeweka mkakati mkali zaidi wa kuwakagua wakimbizi...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Mhubiri mmoja nchini Afrika Kusini amewashabgaza wengi baada ya kuwataka watu waliohudhuria mkutano wavue nguo kisha wajichue mpaka wafikie mshindo ili wapokee baraka. Waamini hao walisikika...
5 Reactions
106 Replies
18K Views
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia.... Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 .... Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ant Financial ambayo ni kampuni inayomiliki mtandao wa biashara wa Alibab, inainunua kampuni ya kimarekani ya MoneyGram kwa kima cha dola milioni 880. MoneyGram ina karibu vituo 350,000 kwa...
1 Reactions
0 Replies
710 Views
In 1972, President Richard Nixon’s White House dispatched burglars to bug Democratic Party offices. That Watergate burglary and related “dirty tricks,” such as releasing mice at a Democratic press...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais mpya wa Gambia, Adama Barrow amemteua Bi. Fatoumatta Tambajang kuwa Makamu wake wa Rais, taarifa hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Mwanamama huyo amekuwa mwanaharakati wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom