Aisee ukweli ni ukweli tu

Oct 19, 2016
86
35
Mwanamme ni mwanaume tu!
USSR ni kiboko cha USA na ulaya kila Siku hawakohoi kwa Putin ni mwanaumwe Wa USA na ulaya !
Naamini jeshi LA MTU mmoja ni thabiti kuliko muungano!siku zote walioungana iko Sikh wakasalitiana!
Hongera Putin kuwa jeshi LA MTU mmoja
 
Putin angekuwa anaishi Dar angefaidi sana sio kwa mahaba haya...
 
Mwanamme ni mwanaume tu!
USSR ni kiboko cha USA na ulaya kila Siku hawakohoi kwa Putin ni mwanaumwe Wa USA na ulaya !
Naamini jeshi LA MTU mmoja ni thabiti kuliko muungano!siku zote walioungana iko Sikh wakasalitiana!
Hongera Putin kuwa jeshi LA MTU mmoja
what happened...labda tuanzie hapo...
 
Korea kaskazini Iran na Russia hao ndiyo viboko ya Nato na washirika wao wewe jiulize nchi 28 zote zinahaha kushindana na mtu mmoja tu
 
Sivyo kama unavyofikiria...Russia, USA, na baadh ya nchi za uraya wana nuclear weapons...so negotiation sikuzote ndo suluhisho kuliko zita...hivyo ukimya wa USA na Uraya kwa Rassia usifikiri wamemwogopa...
 
Back
Top Bottom