Udukuzi Wa Mawasiliano?..U.K Officials to Push Against Encryption Technology

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,025
28ukencryption-master768.jpg

Amber Rudd, Britain's Home Secretary.


Maafisa wa Serikali ya Uingereza watakutana na wawakilishi wa makampuni ya Technolojia ya Marekani kwa kudai msaada zaidi katika vita na Terrorism, katika kile kinachosemekana ni hatua dhidi ya (encryption technology) ambayo itafungua njia ya kudukua mawasiliano ya siri ya watumiaji mtandao wa aina zote, Wahalifu na wasio Wahalifu, ingawa Tech companies and digital rights advocates wamesema kitendo hicho kinafanana na kwenda kinyume na haki za binadamu.

Mkutano huu umepangwa baada ya Britain Home Secretary Amber Rudd, kusema vyombo vya intelligence vingeweza kupata access kwa (encrypted messages) zilizopelekwa kupitia WhatsApp, baada ya shambulio la juzi, ambapo Islamic State walidai kuhusika lakini uchunguzi bado unaendelea kufatilia uhasiano wao na Khalid Masood, Mzawa wa Uingereza aliyefanya shambulio.
Masoud inasemekana aliwasiliana na mtu (ambae bado anatafutwa) kabla ya shambulio...

"Officials in Britain, however, are going a step further. And by demanding that intelligence agencies be allowed to read encrypted messages, Ms. Rudd is reiterating long-held plans to gain more control over digital services.

Last year, the country passed legislation giving law enforcement greater powers to make telecommunications and technology companies hand over digital information relating to intelligence operations. The law also required tech companies to bypass encryption protocols, where possible, to aid investigations.

In the United States, the authorities have made similar demands. The F.B.I. asked Apple to unlock the iPhone used by one of the attackers who killed 14 people in San Bernardino, Calif., in December 2015. Apple resisted, and the F.B.I. later said it had found a way to unlock the phone without the company’s help"..

https://www.nytimes.com/2017/03/27/...k-attack.html?ribbon-ad-idx=4&rref=technology
 
Ama kweli dunia mapito leo hii GREAT BRITAIN anaomba msaada kwa aliyemtawala miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom