Kutokana na Rais wa Marekani Donald Trump kuzuia raia wa nchi saba kuingia Marekani huenda nchi za Iran, Syria, Libya,Somalia, Sudan, Yemen na Iraq zikabadili mfumo wa matumizi ya fedha kutoka...
Wadau naomba maoni yenu baada ya Rais Donald Trump kupiga Maruufuku raia wa nchi saba ikiwemo Somalia. Katika uchaguzi utakaofanyika Somalia tarehe 8 February 2017 kumchagua Rais wa nchi hiyo kati...
Watu wa Usalama wa tanzania lipo jambo la kujifunza hapa.Jamaa kamgomea Rais Trump kukaa na kagoma kutoka nje.Lakini hajapigwa wala kuzalilishwa.
Unadhani ingekuwa ni Tanzania nini kingempata huyu...
ETHIOPIA: Morocco imekubaliwa rasmi kurejea katika Umoja wa Afrika(AU). Ilijitoa mwaka 1984 kufuatia mgogoro wake na Sahara Magharibi.
- Aidha Waziri wa Mambo ya ya Nje wa Chad, Moussa Faki...
Moussa Mahamat of Chad elected AU Commission chairman, beating Kenya's Foreign Affairs Cabinet Secretary Amina Mohamed after eight rounds of voting.
Moussa Mahamat elected AU Commission chair
It’s important to remember, just because Donald Trump finally defeated Hillary Clinton and effectively ended her political career, her past criminality hasn’t changed in any way, shape, or form...
Abu Sayyaf mchinjaji mkuu wa kundi la kigaidi Islamic State anayetajwa kuchinja zaidi ya watu 100, amechinjwa kwenye mapambano nchini Iraq.
=======
A NOTORIOUS ISIS executioner who beheaded...
Igbo of Nigeria
The Igbos of Nigeria are Africa's most energetic and most entrepreneurial people. They are not ancient traders but emerged much more recently with the onset of the British...
Mara nyingi marais wastaafu wa Marekani huwa HAWAJIHUSISHI hata kidogo na masuala ya kisiasa punde wakiachia uongozi.Labda kusaidia kampeni wakati wa uchaguzi tu.
Habari za hivi punde...
Dana Boente amechaguliwa kuwa acting AG
Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates saa chache tu baada ya kuwaagiza mawakili wa idara ya haki nchini humo...
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI: Mwendesha mashtaka, Gerrie Nel ambaye alimuhuku mwanariadha mwenye ulemavu Oscar Pistorius ameamua kujiuzulu nafasi hiyo ikiwa ni miaka 5 kabla ya muda wake wa...
Wakati Bill Clinton, Bush mkubwa/mdogo na Obama wanabomoa Iraki, Somalia, Yemeni, Sudani, Libya, Syria n.k. hawa wanaondamana leo hii walikuwa wapi? Kwa nini hawakuitumia hii nguvu wanaoitumia leo...
Vikosi vya nchi za Afrika Magharibi vimemkamata kamanda mmoja wa cheo cha juu nchini Gambia, na kupata silaha kweye makao ya kibinafsi ya rais wa zamani aliye uhamishoni Yahya Jammeh.
Jenerali...
Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kuendelea na mipango yake ya kujenga ukuta wa urefu wa kilomita 3000 kwenye mpaka kati ya Marekani na Mexico.
Ukuta huo utakuwa na urefu wa kati ya mita 9 na...
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema Marekani inahatarisha usalama wa eneo kwa kuendelea kurundika silaha zake katika nchi hiyo.
Rais Duterte ameituhumu Washington kuwa inatengeneza vituo...
Rais wa Guinea, Alpha Conde amechaguliwa leo kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU), uchaguzi uliofanyika katika vikao vya viongozi wa nchi wanachama vinavyoendelea katika Makao Makuu ya...
Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani ilitaka kuivamia nchi hii mwaka 1991 na 2001, lakini ikashindwa kutokana na kuwa macho na uwezo wa...
January 2017
C H I N A - One Belt One Road Vision- Ethiopia- Tanzania- Zambia
In 1975, China built the $500 million Tanzam Railway from Dar es Salaam in Tanzania to Kapiri Mposhi in Zambia, the...
Raisi wa USA aliyepita Obama amemshambulia Raisi wa 45 wa USA D.Trump kuhusu katazo la kuingia nchini USA kwa raia wa nchi 7 kwa muda wa siku 90 mpaka hapo USA watakapotengeneza mazingira mazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.