TV moja ya Dini yarusha video ya Ngono dk 15

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Watazamaji wa runinga ya Touba walishangazwa wakati picha hizo za ngono zilipoonekana katika runinga zao kati ya saa saba na dakika kumi na saa saba unusu siku ya Jumatatu.

Runinga hiyo ya kibinafsi awali ilikuwa imesema kuwa kulikuwa na tatizo la mitambo lililosababisha tatizo hilo.

Runinga ya Touba inaendeshwa na kundi la Waislamu kutoka Senegal la Mouride. Chombo hicho sasa kimewasilisha malalamishi yake kwa mamlaka ili kuwasaka wahusika. Video hiyo ya ngono ilichezeshwa wakati wa kipindi maarufu cha Tarixu Juma kwa takriban dakika 15.

''Kama chombo cha kidini, usimamizi wa Touba TV pamoja na watazamaji wake wameshangazwa na wanashtumu kitendo hiki cha kihalifu ambacho kinaonekana kuwa hujuma za kishetani dhidi ya chombo kinachojulikana kwa kupigania maadili ya kiislamu na mafunzo yake'' ,ulisema usimamizi wa Touba TV

Runinga hiyo inapeperusha vipindi vya kidini na kukuza maadili ya kiislamu na mafunzo yake.

Haijulikani ni vipi washukiwa waliweza kuingia katika mitambo ya runinga hiyo.
Touba ndio runinga ya pekee ya mji wa madhehebu ya Mouride, ambayo ina ushawishi mkubwa wa kisiasa pamoja na kiuchumi nchini Senegal.
 
Runinga ya Touba inaendeshwa na kundi la Waislamu kutoka Senegal la Mouride.
Chombo hicho sasa kimewasilisha malalamishi yake kwa mamlaka ili kuwasaka wahusika.
Video hiyo ya ngono ilichezeshwa wakati wa kipindi maarufu cha Tarixu Juma kwa takriban dakika 15.

Walikuwa wanapima kina cha maji.
 
Dk15 wanamuangalia leilani leeane anavyokata mauno mamaeeeee aiseeeee tena tigoni
Ngoja nilete video
 
Runinga moja ya kidini nchini Senegal imemlaumu mtu mmoja ambaye hakutajwa kwa hujuma ya kishetani iliosababisha kanda moja ya ngono kuonyeshwa hewani.

Watazamaji wa runinga ya Touba walishangazwa wakati picha hizo za ngono zilipoonekana katika runinga zao kati ya saa saba na dakika kumi na saa saba unusu siku ya Jumatatu.

Runinga hiyo ya kibinafsi awali ilikuwa imesema kuwa kulikuwa na tatizo la mitambo lililosababisha tatizo hilo.

Runinga ya Touba inaendeshwa na kundi la Waislamu kutoka Senegal la Mouride.

Chombo hicho sasa kimewasilisha malalamishi yake kwa mamlaka ili kuwasaka wahusika.

Video hiyo ya ngono ilichezeshwa wakati wa kipindi maarufu cha Tarixu Juma kwa takriban dakika 15.

''Kama chombo cha kidini, usimamizi wa Touba TV pamoja na watazamaji wake wameshangazwa na wanashtumu kitendo hiki cha kihalifu ambacho kinaonekana kuwa hujuma za kishetani dhidi ya chombo kinachojulikana kwa kupigania maadili ya kiislamu na mafunzo yake'' ,ulisema usimamizi wa Touba TV

Runinga hiyo inapeperusha vipindi vya kidini na kukuza maadili ya kiislamu na mafunzo yake.

Haijulikani ni vipi washukiwa waliweza kuingia katika mitambo ya runinga hiyo.

Touba ndio runinga ya pekee ya mji wa madhehebu ya Mouride, ambayo ina ushawishi mkubwa wa kisiasa pamoja na kiuchumi nchini Senegal.
Source: BBC
 
Watazamaji wa runinga ya Touba walishangazwa wakati picha hizo za ngono zilipoonekana katika runinga zao kati ya saa saba na dakika kumi na saa saba unusu siku ya Jumatatu.

Runinga hiyo ya kibinafsi awali ilikuwa imesema kuwa kulikuwa na tatizo la mitambo lililosababisha tatizo hilo.

Runinga ya Touba inaendeshwa na kundi la Waislamu kutoka Senegal la Mouride. Chombo hicho sasa kimewasilisha malalamishi yake kwa mamlaka ili kuwasaka wahusika. Video hiyo ya ngono ilichezeshwa wakati wa kipindi maarufu cha Tarixu Juma kwa takriban dakika 15.

''Kama chombo cha kidini, usimamizi wa Touba TV pamoja na watazamaji wake wameshangazwa na wanashtumu kitendo hiki cha kihalifu ambacho kinaonekana kuwa hujuma za kishetani dhidi ya chombo kinachojulikana kwa kupigania maadili ya kiislamu na mafunzo yake'' ,ulisema usimamizi wa Touba TV

Runinga hiyo inapeperusha vipindi vya kidini na kukuza maadili ya kiislamu na mafunzo yake.

Haijulikani ni vipi washukiwa waliweza kuingia katika mitambo ya runinga hiyo.
Touba ndio runinga ya pekee ya mji wa madhehebu ya Mouride, ambayo ina ushawishi mkubwa wa kisiasa pamoja na kiuchumi nchini Senegal.
Dini ya ngono hiyo hakuna jipya
 
Hiyo iliwahi kutokea Iringa IMTV(wakati tv ya manispaa inaanzishwa), kumbe wahusika walikuwa wanatabia ya kuangalia ngono usiku wakati vipindi vingine vinaendelea, sasa siku hiyo wamejisahau kumbe wanachoangalia ndio kinachoenda hewani. Palinoga aisee!
 
Inamaanisha hicho kipande cha video ya Ngono kilikuwa kimehifadhiwa pamoja na vipindi vingine vya dini.
 
Back
Top Bottom