Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,895
- 13,454
Nani sasa muuaji ni yule anayetengeneza silaha(ambazo hutumika kwa binadamu) au yule ambaye anatumia silaha hizo?Donald Trump kuna kitu amekiona ambao wengi hawakijui, hawa watu hawahitaji huruma wala fadhila, ni wauaji wakubwa
Yule anayetumia silaha hizo ndiye muuaji.Nani sasa muuaji ni yule anayetengeneza silaha(ambazo hutumika kwa binadamu) au yule ambaye anatumia silaha hizo?
Mi kwangu naona wote wauaji tu.
Unashangaa mtu kufa kwa ajiri ya mungu ila ushangai mungu mwenyewe kufa kwa ajiri yako wewe!Kwan huyo allah hawez kufa kwa ajili ya gaid
Basi kusingekuwa na uuzaji wa silaha ambao unawatajirisha watu,maana kila mtu angetengeneza silaha zake za kumtosha kujilinda tu na si kuuza hadi kwa wengine.Yule anayetumia silaha hizo ndiye muuaji.
Anayetengeneza ni kwa ajili ya kujilinda tu dhidi ya watengenezaji wenzake pamoja na watumiaji.
Wakenya tuachieni Kiswahili chetu muendelee na kiingereza chenye mchanganyiko na kiluyaNa akufe tu
Nlikua natania tu mkuu,mimi sio mkenya.Wakenya tuachieni Kiswahili chetu muendelee na kiingereza chenye mchanganyiko na kiluya
Inategemea tu unalichuliaje hilo jambo,mwengine anaweza kuona kazi ya uanajeshi ni ujuha..yani uende kufa vitani kwa ajiri ya wengine huku tuendelee kupiga soga tu mitandaoni.Huu ni Ujuha na Upungufu wa Akili.
Nikweli mkuu nimekosoma, (mungu) huyu ameagiza watu wafe kwa ajili yake.Unashangaa mtu kufa kwa ajiri ya mungu ila ushangai mungu mwenyewe kufa kwa ajiri yako wewe!
Ndiyo ujue kadri wewe uonavyo kuwa ugumu kuamini kuwa mungu anaweza kuagiza watu wafe kwa ajiri yake ndiyo wengine pia huona ugumu kuamini kuwa mungu aliamua kufa kwa ajiri ya watu wake.
Ni kweli hawa magaidi wanaoua watu hovyo Mungu hajawatuma.Nikweli mkuu nimekosoma, (mungu) huyu ameagiza watu wafe kwa ajili yake.
Lakini (MUNGU) huyu Hajaagiza watu wafe kwa ajili yake.
Nadhani hapo imeeleweka sasa.