MAREKANI: Daktari aliyekua akikuza makalio ya Wanawake amefungwa miaka 10jela baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha kifo.
Alikuwa akitumia mchanganyiko wa malighafi za kutengenezea...
TANZIA: AHMED KATHRADA HATUNAYE
Mpinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ya enzi hizo, AHMED KATHRADA amefariki dunia leo, akiwa hospitali jijini Johannesburg. AHMED Mohamed KATHRADA, rafiki...
With the consequences of Brexit and an increasingly inward-looking United States still unfolding, 2017 is likely to be an economically tumultuous year.
Some African countries, however, could see...
Kama mtanzania najivuania na natoa pongezi za dhati kwako, Mungu akutangulie katika majukumu yako.
Dr Mwele ataanza kazi rasmi WHO kuanzia kesho akiwa anaishi Congo, Brazzaville...
Kama...
Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha...
Waendesha mashtaka wamesema wataomba idhini ya kumkamata aliyekuwa rais wa taifa hilo Park Geun-hye, kwa mchango wake katika kashfa ya ulaji rushwa nchini humo.
Alipoteza kinga ya rais dhidi ya...
Rubani amefariki kwenye ndege iliyokuwa safarini kutoka Dallas kwenda Albuquerque huko New Mexico, kwa mujibu wa shirika la American Airlines.
Ndege hiyo aina ya Boeng 737-800, ilikuwa imesalia...
Mahakama Kuu ya Western Cape nchini Afrika Kusini leo imeruhusu Matumizi na kilimo cha Bangi.
Hivi bangi ni madawa ya kulevia au nini.Maana hapa kwetu wanaita bangi madawa ya kulevyia.Na hii...
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amewafukuza kazi mawaziri wake kadhaa akiwemo Waziri wa fedha Pravin Gordhan pamoja na naibu wake Jonas Mkabisi ambao ndio waliokua sababu kuu ya kuwepo mabadiliko...
Ousted South Korean President Park Geun-hye has been arrested and taken into custody over a corruption scandal that led to her dismissal.
The 65-year-old was driven to a detention centre south of...
Breaking News: Former national security adviser tells FBI, the House and Senate intelligence committees he’s willing to be interviewed in exchange for deal, officials say
Mike Flynn, President...
Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani wiki chache zilizopita Park Geun-hye amekamatwa na kuzuiliwa kuhusiana na tuhuma za rusha ambazo zilichangia kutimuliwa kwake kutoka madarakani...
Mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo katika Majimbo kadhaa ya Nigeria umeua zaidi ya watu 140.
Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Abuja kinaripoti kuwa katika wiki iliyopita, katika majimbo...
Fedha ya Afrika Kusini, rand, inaendelea kushuka thamani kwa kasi baada ya Rais Jacob Zuma kumtimua waziri wa fedha mwenye uzoefu mkubwa, Pravin Gordhan.
Zuma alitangaza uamuzi huo Alhamis hii...
Ukisoma vizuri sana Kitabu Kilichoandikwa na Mwandishi Gerald Prunier chenye Title ya ' The Rwanda Crisis, History of a Genocide 1959 - 1994 ' utagundua kuwa ni asilimia ndogo mno ambapo...