You can smoke weed at home in South Africa – Court ruling

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mahakama Kuu ya Western Cape nchini Afrika Kusini leo imeruhusu Matumizi na kilimo cha Bangi.
Hivi bangi ni madawa ya kulevia au nini.Maana hapa kwetu wanaita bangi madawa ya kulevyia.Na hii imeanza baada ya bashite kuulizwa vyeti.

-----
snoop-dogg.jpg

The Western Cape High Court has ruled that it is an infringement to ban the use of dagga by adults in private homes.

According to a report by News24, the ruling allows for the possession, cultivation, and use of dagga at home for private use.

“It has also ruled that Parliament must change sections of the Drug Trafficking Act, as well as the Medicines Control Act,” stated at the report.

This must be done within 24 months.

The ruling comes after Dagga Party leader Jeremy Acton and Rastafarian Garreth Prince applied to the court to decriminalise marijuana.

“They submitted that the laws prohibiting dagga use are unfair, discriminatory, outdated, and applied disproportionately to black users,” stated the report.


Source: You can smoke weed at home in South Africa – Court ruling
 
Swali zuri

Hata sijawahi kuelewa nadhan huwa wana changanya

Nasubiri kujua kupitia nyuzi hii
 
Bangee bangee bangeee imesababisha mi nisote/ bange bangeee bangeee nitaisaliti ili nitoke/ by 20%
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kuna uwezekano kabla ya kufika 2030 bangi itakuwa halali dunia nzima kwa matumizi kama dawa ila control yake itashindikana. Kwa sasa inaheshimiwa Israel hadi kulimwa kwenye greenhouses. Ngoja watafiti waendelee. Cocaine ilianza kuwa Illegal miaka ya 1914 hii ni baada ya watu kuonekana wanatabia ambazo hazieleweki baada ya kutumia.
Kuna uwezekano Bangi ikawa legal na baadae watu kuchanganyikiwa na naona ugumu wa kuifanya tena iwe ILLEGAL wakati hata wa kupitisha hilo wameshakuwa addicted.

Mtazamo.
 
It has also ruled that Parliament must change sections of the Drug Trafficking Act, as well as the Medicines Control Act,” stated at the report."

I wonder how they are going to change them, if they do.
 
kuna uwezekano kabla ya kufika 2030 bangi itakuwa halali dunia nzima kwa matumizi kama dawa ila control yake itashindikana. Kwa sasa inaheshimiwa Israel hadi kulimwa kwenye greenhouses. Ngoja watafiti waendelee. Cocaine ilianza kuwa Illegal miaka ya 1914 hii ni baada ya watu kuonekana wanatabia ambazo hazieleweki baada ya kutumia.
Kuna uwezekano Bangi ikawa legal na baadae watu kuchanganyikiwa na naona ugumu wa kuifanya tena iwe ILLEGAL wakati hata wa kupitisha hilo wameshakuwa addicted.

Mtazamo.

Bangi haijanza kuvutwa jana na wala sio wajinga waipitishe. Uku Tz watu wanavuta mauchafu na kusema ni bangi.
 
They say when you smoke herb it makes you rebel.....rebel against what?

Why these people call themselves government wants so much good for the people? Why?

Herb is a plant.......I mean herb is good for everything

Don't give up the herb
 
Cape Town maeneo ya philip kuna kijiji cha marasta hapo walikua wanaruhusiwa kuvuta dagga toka miaka hiyo ni free mpaka watalii walikua wanatembelea sana hapo kwa ajili ya kuvuta tuu...
 
Kuna watu wazima wanavuta bangi na haiwadhuru, kuna watu wanakunywa gongo miaka nenda rudi wapooo, ni haramu kwa sababu serikali haipati kodi, nashauri bange iruhusiwe kwa kibali maalum ili ilimwe iwe zao LA biashara,
 
Huwa mnasema rais wetu Kenya, Uhuru Kenyatta anavuta ili mambo yaende, naona hii kitu itakuja halalishwa na hapo ndio utakua mwanzo wa mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom