International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

TANZIA: AHMED KATHRADA HATUNAYE Mpinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ya enzi hizo, AHMED KATHRADA amefariki dunia leo, akiwa hospitali jijini Johannesburg. AHMED Mohamed KATHRADA, rafiki...
8 Reactions
31 Replies
5K Views
With the consequences of Brexit and an increasingly inward-looking United States still unfolding, 2017 is likely to be an economically tumultuous year. Some African countries, however, could see...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate! "Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
0 Reactions
47 Replies
21K Views
Kama mtanzania najivuania na natoa pongezi za dhati kwako, Mungu akutangulie katika majukumu yako. Dr Mwele ataanza kazi rasmi WHO kuanzia kesho akiwa anaishi Congo, Brazzaville... Kama...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Waendesha mashtaka wamesema wataomba idhini ya kumkamata aliyekuwa rais wa taifa hilo Park Geun-hye, kwa mchango wake katika kashfa ya ulaji rushwa nchini humo. Alipoteza kinga ya rais dhidi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rubani amefariki kwenye ndege iliyokuwa safarini kutoka Dallas kwenda Albuquerque huko New Mexico, kwa mujibu wa shirika la American Airlines. Ndege hiyo aina ya Boeng 737-800, ilikuwa imesalia...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Mahakama Kuu ya Western Cape nchini Afrika Kusini leo imeruhusu Matumizi na kilimo cha Bangi. Hivi bangi ni madawa ya kulevia au nini.Maana hapa kwetu wanaita bangi madawa ya kulevyia.Na hii...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amewafukuza kazi mawaziri wake kadhaa akiwemo Waziri wa fedha Pravin Gordhan pamoja na naibu wake Jonas Mkabisi ambao ndio waliokua sababu kuu ya kuwepo mabadiliko...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Polisi nchini zambia sasa watamkamata yeyote atakayevaa nguo za kubana mwili na nguo fupi ziishiazo juu ya magoti.. Nawasilisha
6 Reactions
41 Replies
6K Views
Ousted South Korean President Park Geun-hye has been arrested and taken into custody over a corruption scandal that led to her dismissal. The 65-year-old was driven to a detention centre south of...
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Provide knowledge you acquired in SOUT
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Breaking News: Former national security adviser tells FBI, the House and Senate intelligence committees he’s willing to be interviewed in exchange for deal, officials say Mike Flynn, President...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani wiki chache zilizopita Park Geun-hye amekamatwa na kuzuiliwa kuhusiana na tuhuma za rusha ambazo zilichangia kutimuliwa kwake kutoka madarakani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo katika Majimbo kadhaa ya Nigeria umeua zaidi ya watu 140. Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Abuja kinaripoti kuwa katika wiki iliyopita, katika majimbo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Fedha ya Afrika Kusini, rand, inaendelea kushuka thamani kwa kasi baada ya Rais Jacob Zuma kumtimua waziri wa fedha mwenye uzoefu mkubwa, Pravin Gordhan. Zuma alitangaza uamuzi huo Alhamis hii...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Live: Interstate 85 collapses Live: Interstate 85 collapses - CNN.com
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Ukisoma vizuri sana Kitabu Kilichoandikwa na Mwandishi Gerald Prunier chenye Title ya ' The Rwanda Crisis, History of a Genocide 1959 - 1994 ' utagundua kuwa ni asilimia ndogo mno ambapo...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Sasa hivi nchi ya Uingereza inajiandaa kujiengua EU na tayari leo wamashapeleka maombi ya kufanya hivyo, mpka hapo sina tatizo kwa maana ni nchi yao na wanaamua wawe wapi na wasiwe wapi! Lkn...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom