Congratulations Dr. Mwele the new Director of Africa Centres for diseases control and prevention.

jiwe jeusi

JF-Expert Member
Sep 5, 2012
861
834
Kama mtanzania najivuania na natoa pongezi za dhati kwako, Mungu akutangulie katika majukumu yako.

Dr Mwele ataanza kazi rasmi WHO kuanzia kesho akiwa anaishi Congo, Brazzaville...

Kama watanzania hatuna budi kumpongeza.
 
wengine walisema ni plunk ya fools day
 
Hilo n tatizo la kutaka ukweli uwe uwongo na uwongo uwe ukweli. Tuna wataalamu wengi sana ambao hawathaminiwi na kuachwa pembeni ambao wangeweza kulisaidia sana Taifa letu ili liweze kusonga mbele lakini ndo hvyo tena.
 
Dikteta uchwara na roho mbaya yake alimfuta kazi bila sababu yoyote ile ya maana.

Kama mtanzania najivuania na natoa pongezi za dhati kwako, Mungu akutangulie katika majukumu yako.

Dr Mwele ataanza kazi rasmi WHO kuanzia kesho akiwa anaishi Congo, Brazzaville...

Kama watanzania hatuna budi kumpongeza.
 
Sisi tulimtimua!! Ili akome kusema ukweli kwenye nchi ya waongo!! Kama alifikiri ana. Haki ya kusema ukweli but not to that extent!
 
Back
Top Bottom