Kwa mnaomjua Shekh Abdul Rahmaan Sudeis

Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
1,001
1,021
17553606_736749829836105_3646363992160120411_n.jpg
 
PANAPO MAJAALIWA YAKE ALLAH (Subhanallah Wata'alah) ITAKUWA NDANI YA KUMI LA PILI NDANI YA MFUNGO MTUKUFU WA RAMADHAN.
TUJIANDAE KWENDA KUMLAKI UWANJA WA NDEGE, PALE TUTAKAPOPATA TAREHE NA WAKATI ATAKAPO TUA NCHINI.
 
Al-Hikma Qur'an Competition
Kwa taarifa rasmi na habari zote kuhusu mashindano makubwa ya Qur an ya Afrika ya Al-Hikma Foundation chini ya Sheikh Nurdin Kishki, mwaka huu yakifanyika uwanja mkubwa wa Taifa, tafadhali tembelea page tajwa na usisahau kulike na kushare kwa marafiki...
 
Back
Top Bottom