NIGERIA: Homa ya uti wa mgongo yaua zaidi ya 140

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
Mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo katika Majimbo kadhaa ya Nigeria umeua zaidi ya watu 140.

Kituo cha kudhibiti magonjwa cha Abuja kinaripoti kuwa katika wiki iliyopita, katika majimbo 6 watu 1000 wameshaambukizwa.

Homa ya uti wa mgongo huathiri ubongo na uti wa mgongo. Mlipuko huu ni wa kwanza mkubwa kutokea baada ya ule wa 2009 ulioua zaidi ya watu 156.

========

An outbreak of meningitis in several states of Nigeria has killed at least 140 people, officials say.

It has been reported over the last week in six states and has so far infected more than 1,000 people, the Abuja Centre for Disease Control says.

Meningitis causes an acute inflammation of the outer layers of the brain and spinal cord.

The current outbreak is the worst in Nigeria since 2009 when it killed at least 156 people.

The disease is spreading amidst fears it could be out of control if refugee camps, prisons and police cells become affected through crowds, the BBC's Chris Ewokor in Abuja says.

Vaccination is an effective way of preventing against meningitis.

However, a new strain, which may have been imported from a neighbouring country is now prevalent in Nigeria and requires a different type of vaccine, Nigerian Minister of Health Isaac Adewole said.

The seasonal outbreak has been attributed to cold nights, dusty winds and dry weather, which were aggravated by traditional beliefs, poor hygiene, and overpopulation, our reporter says.

Nigeria lies on the meningitis belt, stretching from the Sahel region to the Horn of Africa, where outbreaks occur regularly.


Source: BBC
 
Nigeria taifa la pili kwa kuwa na uchumi mkubwa barani Afrika cha ajabu wananchi wanakufa kwa njaa utapiamlo huduma mdebwedo wananchi wengi tu ni masikini cha kujiuliza huo uchumi huwa ni wa kwenye makaratasi tu au mimi ndiyo sielewi?
 
Back
Top Bottom