Nami naomba iwe hivyo!ije na uku kwetu
Hayo waachie Wazambia, hapa kwetu tuna mamia ya matamko bado hatujadigest
Mkuu,ije na uku kwetu
Isije fika huku kwakweli.
Wengine kwenye madera hatuenei
Aseee!Hili tangazo limenikumbusha wakati niko Namibia !!yaani kule wanavaa nguo fupi hadi hawa mademu wa bongo wote unawaona wamevaa madela
Leggings ndo nini eti..mtusaidie na sisi wa Mawemilu kuelewa.Leo nilikuwa namwambia mtu kwamba sifagilii leggings, anasema ni comfortable sana eti.
Nimeelewa,ahsante sana