lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Rubani amefariki kwenye ndege iliyokuwa safarini kutoka Dallas kwenda Albuquerque huko New Mexico, kwa mujibu wa shirika la American Airlines.
Ndege hiyo aina ya Boeng 737-800, ilikuwa imesalia na karibu kilomita tatu kabla ya kutua, wakati nahodha alitangaza suala la dharura, kwa mujibu wa msemaji wa uwanja wa ndege wa Albuquerque
Ndege hiyo ilitua bila ya kisa chochote na hakuna rubani aliyejeruhiwa