Michael Flynn offers to testify in exchange for immunity!

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,602
Reaction score
23,986
Breaking News: Former national security adviser tells FBI, the House and Senate intelligence committees he’s willing to be interviewed in exchange for deal, officials say

Mike Flynn, President Trump’s former national security adviser, has told the FBI and congressional committees investigating the Trump campaign’s potential ties to Russia that he is willing to be interviewed in exchange for a grant of immunity from prosecution.

Duh, mambo yanaanza kuwa mambo huko Marekani na viti walivyokalia watu huko Ikulu vinaanza kupata joto. Huyu Michael Flynn tayari anatafuta kinga ili aweze kujitetea mbele ya Kamati za usalama za Senate na House. Je ni yapi hayo anategemewa kuyamwaga? Je watanasa waliomo na wasiokuwamo? Yetu macho, tuvute subira...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Je Nape wetu ataomba immunity atueleze goli la mkono lilipigwaje? Tunafurahia ya wenzetu hapa mhu tunasema uchaguzi umeisha maisha kwenda mbele. Wanaotufundisha demokrasia wao mpaka kieleweke kwa nini tusijifunze na hilo tujue na vijana walionyang'anya laptop zao zilipelekwa wapi na mbona hatukujua waliishia wapi baadaye. Na wale wa Lumumba mbona hawakukamatwa? Tuna safari ndefu kufikia kwa wenzetu miaka kama mia mbili hivi toka sasa.
 
Wengi tunatamani sana na chaguzi zetu zingekuwa na uwazi/ufuatiliaji kama huu pale ambapo kuna kasoro za wazi kabisa ambazo zinaweza kuwa sababu ya kubadili matokeo. Bado tuna safari ndefu sana ya kufika huku waliko wenzetu na hali hii inasababishwa na kundi dogo la watu kuweka mbele maslahi ya chama chao badala ya yale ya Tanzania na Watanzania,

Kweli, sisi kwa generation hii hatutabadili kitu sababu watu wakiona mtu anakwenda upinzani hata kumsalimia wanaogopa wanadhani ni mkoma. Nimeona Airport watu wanaogopa kuongea na viongozi wa upinzani as if ni watenda dhambi. Lakini ilikuwa hivyo wakati wanabadili mifumo Uingereza. Kumbuka Cromwell alifikiri anabadili lakini akaja kuwa dicteita akamweka mwanawe ambaye alishindwa ikrudisha kingdom. Urusi waliua Tzar lakini ukiangalia waliopo ni wabaya zaidi ya yule Tzar waliyemuua na wizi ni zaidi na ukandamizaji hatari ambao naona tusipoangalia tutafika huko.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Je Nape wetu ataomba immunity atueleze goli la mkono lilipigwaje? Tunafurahia ya wenzetu hapa mhu tunasema uchaguzi umeisha maisha kwenda mbele. Wanaotufundisha demokrasia wao mpaka kieleweke kwa nini tusijifunze na hilo tujue na vijana walionyang'anya laptop zao zilipelekwa wapi na mbona hatukujua waliishia wapi baadaye. Na wale wa Lumumba mbona hawakukamatwa? Tuna safari ndefu kufikia kwa wenzetu miaka kama mia mbili hivi toka sasa.
Hii nchi si kichwa cha wendawazimu ktk soka tu ni katika vyote,tupo tupo tu.
 
The chickens are finally coming home to roost...​

Kweli hujafa hujaumbika...​
 
Back
Top Bottom