International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Donald Trump aliingia ofisini akiahidi kubadilisha sura ya siasa za Marekani na kurejesha madaraka kwa raia. Kufikia sasa, amefanikiwa kufanya nini? Tunafuatilia maendeleo ya rais kwenye ajenda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkutano mkubwa wa nchi za Asia yaani maarufu kama "ASEAN" unafanyika leo mjini manila nchini Ufilipino, mada itakayotawala katika mkutano huo itakua kujadili mgogoro wa Korea Kaskazini na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Star Wars tunahuzunika kwa kifo Cha Princess Leia (jina lake kamili Carrie Fisher). Amefariki akiwa na umri wa miaka 60. May the force be with you Princess Leia R.I.P
9 Reactions
98 Replies
18K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa taifa hilo kuhutubia muungano wa wanaharakati wa uhuru wa kumiliki bunduki, NRA, baada ya kipindi cha zaidi ya miaka 30. Akiongea hapo...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Mahakama ya kiislamu imeiomba msamaha Israel kwa mashambulizi yaliyotokea kati yao ana kwa ana. Israel's former defence minister has said that the Islamic State group "apologised" to Israeli...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
SIERRA LEONE: Rais Ernest Bai Koroma amesema mwakani na ataondoka madarakani na kukabidhi madaraka kwa amani kwa mrithi wake. ========= President Ernest Bai Koroma of Sierra Leone said Thursday...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Nchini Singapore kampuni ya soda ya CocaCola imetengeneza mashine maalum ambazo ukizikumbatia zinakuwezesha kupata soda ya bure 'automatically'. Mashine hiyo unapoikumbatia inatoa soda bure na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Image captionRex Tillerson (kulia) na balozi wa Marekani kwenye UN Nikki Haley, wakiwa kwenye mkutano Marekani iko tayari kwa mazungumzo na Korea Kaskazini yenye lengo la kuondoa zana za nuklia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
how many hours before ika collapse kisha collapse hiyo kaeni staby before zingine zikaanza kuanguka na jana bosi wa British Airways alisema kuwa kuna mashirika kama 50 hivi ya ndege dizaini...
0 Reactions
172 Replies
26K Views
Ndugu wana jukwaa,nimekuwa nikijiuliza,kwa nini Meli inasajiriwa na kupeperusha bendera isiyokuwa ya nchi yake. Unakuta Meli ni ya nchi ya Iran,lakini imesajiriwa Tanzania, kwa nini usajiri hauwi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja wa Ufaransa ''amefufuliwa'' na afisa mmoja wa polisi ambaye alimfanyia matibabu ya dharura kwa jina CPR saa moja baada ya maafisa wa afya kusema kwamba amefariki. Mwanamke huyo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa Taarifa zilizotufikia Hivi punde ni kwamba Raisi wa marekani Dolnad Trump amewaambia wajumbe kua kuisuluisha Korea ya kaskazini kwa njia ya kidiplomasia ni vigumu kuwafikia. Je ni nini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wawili zaidi wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao uliwaambukiza watu waliohudhuria mazishi mapema wiki hii katika kaunti ya Sinoe nchini Liberia kusini mashariki mwa mji mkuu...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Trump na yanayoendelea ktk Peninsula ya Korea. * Uvamizi wa kijeshi North K. Yawezekana na moja ya mpango ulioko mezani lakini linatafutwa suluhisho la amani kwanza ingawa inakuwa vigumu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Marekani Yashindwa Tena kuamua Kuishambulia North Korea Na Kuendelea Kusisitiza Kuhusu Vikwazo. Mamlaka ya rais Donald Trump imewaelezea maseneta wote 100 wa bunge la taifa hilo kuhusu tishio la...
4 Reactions
105 Replies
16K Views
Marekani vs North Korea Marekani vs China Marekani vs Russia Ungereza vs Russia North Korea vs South Korea North Kores vs Japan North Korea vs Australia Iran vs Israel Hizzbollah ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hi everybody, How are you? I want to buy a best drone with HD camera, powerful battery, powerful motor etc. My one friend told me about a site for best drone. The site is: 10 Best - Top rated...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
C & P Submarine ya Marekani iliyoingia rasi ya Korea leo tayari kabisa kwa vita endapo itatokea...., Ina urefu wa mita 170 zaidi ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu, ni manuari ya kwanza duniani...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jeshi la maji la Iran mwishoni mwa wiki hii lilikabidhiwa makombora ya cruise missiles yenye uwezo mkubwa wa kutungua manowari. Makombora hayo yanauwezo wa kuzipoteza rada maboya ili zisijue kuwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Chama cha Labor nchini Uingereza chaapa kufutilia mbali mpango wa Brexit kikishinda uchaguzi. ====== Britain's largest opposition party has vowed to guarantee EU citizens rights if elected to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…