Usajili au usajiri ebu tutoe tongotongo hapo kwanzaNdugu wana jukwaa,nimekuwa nikijiuliza,kwa nini Meli inasajiriwa na kupeperusha bendera isiyokuwa ya nchi yake.
Unakuta Meli ni ya nchi ya Iran,lakini imesajiriwa Tanzania, kwa nini usajiri hauwi wa Meli ya nchi husika.Nitoweni tongotongo
Usajili au usajiri ebu tutoe tongotongo hapo kwanza
Hujawahi kosea matamshi au maandishi na ukaeleweka?.Usajili au usajiri ebu tutoe tongotongo hapo kwanza
Kwa ufupi ni hivi, chombo cha baharini (marine vessel) ambacho kinafanya safari za kimataifa ni lazima kisajiliwe kwenye taifa lolote ili iweze kutambuliwa kimataifa, yaani kwa mfano meli imejengwa Denmark lakini uraia wa ile meli (nationality of the ship) ukasajiliwa katika nchi nyingine ambayo itasimama kama flag state, so sheria zote znazoisimamia meli hiyo zinakuwa chini ya taifa ambako meli imesajiliwa na sio ilikotengenezwa, ndio maana unaona maersk line, meli zao nyingi znapeperusha bendera ya U.S.A badala ya Denmark. Kama una swali lingine uliza tu mkuu.Ndugu wana jukwaa,nimekuwa nikijiuliza,kwa nini Meli inasajiriwa na kupeperusha bendera isiyokuwa ya nchi yake.
Unakuta Meli ni ya nchi ya Iran,lakini imesajiriwa Tanzania, kwa nini usajiri hauwi wa Meli ya nchi husika.Nitoweni tongotongo
ebu tutoe tongotongo hapo kwanza
Ahsante kwa majibu yako,Je ni lazima Meli ya kimataifa isisajiliwe na nchi husika?.Ipo kisheria?,kama ndivyo wenye nchi ilikotengenezewa Meli watajuaje kama Chombo kinachoelea Bandarini kwao si Chao.How they can be proud kwa Majirani zao?Kwa ufupi ni hivi, chombo cha baharini (marine vessel) ambacho kinafanya safari za kimataifa ni lazima kisajiliwe kwenye taifa lolote ili iweze kutambuliwa kimataifa, yaani kwa mfano meli imejengwa Denmark lakini uraia wa ile meli (nationality of the ship) ukasajiliwa katika nchi nyingine ambayo itasimama kama flag state, so sheria zote znazoisimamia meli hiyo zinakuwa chini ya taifa ambako meli imesajiliwa na sio ilikotengenezwa, ndio maana unaona maersk line, meli zao nyingi znapeperusha bendera ya U.S.A badala ya Denmark. Kama una swali lingine uliza tu mkuu.
Mkuu hii ni kwa mujibu wa Intl. maritime law, kwamba chochote kinachofanya safari za kimataifa ni lazima kisajiliwe na kuperusha bendera ya nchi husika, halafu hii ni kama investment tu mkuu ambapo mwekezaji anavutiwa na sababu mbalimbali kuhusiana na municipal law ya nchi ambako chombo kitapewa uraia, so kuhusu mapato na kodi wanaelewana tu. Umiliki wa chombo bado unabakia kwenye taifa mama unless kiwe kimeuzwa.Ahsante kwa majibu yako,Je ni lazima Meli ya kimataifa isisajiliwe na nchi husika?.Ipo kisheria?,kama ndivyo wenye nchi ilikotengenezewa Meli watajuaje kama Chombo kinachoelea Bandarini kwao si Chao.How they can be proud kwa Majirani zao?
Lete majicho yako nikutoe sasaEbu au hebu?
Labda ututoe tongotongo hapo.
Mhhh, sijaelewa Mkuu, ngoja niende nikapitie notifications zangu kidogo, nitarudi.Mkuu hii ni kwa mujibu wa Intl. maritime law, kwamba chochote kinachofanya safari za kimataifa ni lazima kisajiliwe na kuperusha bendera ya nchi husika, halafu hii ni kama investment tu mkuu ambapo mwekezaji anavutiwa na sababu mbalimbali kuhusiana na municipal law ya nchi ambako chombo kitapewa uraia, so kuhusu mapato na kodi wanaelewana tu. Umiliki wa chombo bado unabakia kwenye taifa mama unless kiwe kimeuzwa.
Lete majicho yako nikutoe sasa
ChaguaMajicho au macho?
Ndugu wana jukwaa,nimekuwa nikijiuliza,kwa nini Meli inasajiriwa na kupeperusha bendera isiyokuwa ya nchi yake.
Unakuta Meli ni ya nchi ya Iran,lakini imesajiriwa Tanzania, kwa nini usajiri hauwi wa Meli ya nchi husika.Nitoweni tongotongo