BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
Nchini Singapore kampuni ya soda ya CocaCola imetengeneza mashine maalum ambazo ukizikumbatia zinakuwezesha kupata soda ya bure 'automatically'. Mashine hiyo unapoikumbatia inatoa soda bure na zinajulikana kama "Hug Me Coke Machine". Kampuni ya CocaCola imesema lengo la kuweka mashine hizo mitaani ni kusambaza upendo kwa wateja wake.
Fikilia hii mashine ungekuwa bongo ingekuwaje.