Mtazamo Wangu Ligi ya Vita Vya Dunia Vya 3

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Marekani vs North Korea
Marekani vs China
Marekani vs Russia
Ungereza vs Russia
North Korea vs South Korea
North Kores vs Japan
North Korea vs Australia
Iran vs Israel
Hizzbollah ya Lebanon vs Israel
Saudh Arabia vs Iran
Uturuki vs Iraq
Pakistani vs India

Ratiba niliyoipanga hapo juu ni uwezekano mkubwa wa vita vya 3 vya dunia vikitokea ndivyo itakavyokuwa.
Hakutakuwa na mshindi kwenye ligi hiyo lakini mamilioni ya watu watakufa.
 
Bora wapigane vita vikishamalizika wazungu watakua wameteketea kwa kiasi kikubwa alafu sisi Afrika ndo tunakua super power coz sisi hatuko kwenye hivo vita. Nimewaza tu lakini
 
Baada ya hivyo vita Tanzania itakuwa powerful country in the world hivyo rais magufuri atakuwa rais wa dunia akimrithi Trump then mh makonda atakuwa senator...... ngoja ije tu mi nishaagiza popcorn za kutosha kuangalia mtanange
 
Bora wapigane vita vikishamalizika wazungu watakua wameteketea kwa kiasi kikubwa alafu sisi Afrika ndo tunakua super power coz sisi hatuko kwenye hivo vita. Nimewaza tu lakini
Tukitaka kuwa superpower ni lazima tulime kwa bidii
 
vita ni Zionist vs all this universe kutaka kuicontrol dunia mkuu marekani muingereza muisrael wote ni Zionist pupil kitambo sana wanataka ku control dunia ukiona vita yeyote wao ndo wachoraji Trump kawekwa tu wala sio mtoa maaamuzi, wapo watu kazi ni kuwaellekeza akina tramp wafanye nini kwa namna watakavyo
 
Bora wapigane vita vikishamalizika wazungu watakua wameteketea kwa kiasi kikubwa alafu sisi Afrika ndo tunakua super power coz sisi hatuko kwenye hivo vita. Nimewaza tu lakini

Umewaza mara moja tu waza na mara ya pili utagundua mawazo yako ya kwanza yanahitaji urekebishe sehemu flani
 
Back
Top Bottom