International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Source: The Times of Israel Karibuni jamvini.
4 Reactions
171 Replies
14K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameaonya kwa mara nyengine kwamba mzozo mkubwa utaibuka na Korea Kaskazini kuhusu mpango wake wa kinyuklia na ule wa kutengeza makombora. Katika mahojiano na chombo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
North Korea ni Nchi ndogo sana kwa Marekani, Tukianza na Umbo hadi Teknolojia! Yaani huwezi amini mabomu wanayoyafanyia majaribio leo N. Korea wenzao marekani waliwarushiaga Japan mwaka...
19 Reactions
253 Replies
34K Views
Hii ni kauli iliyotoka kwa Jumuia ya Vijana wa North korea (North Korean Youth League) kwa mujibu wa gazeti la The Sun la Uingereza. Kauli kutoka kwa Umoja huo inasema watawafuta maadui wao wote...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akizungumza kuhusu maisha ya awali kabla ya kuwa rais na kueleza jinsi wajibu wake huo mpya katika Ikulu ya White House ni ngumu. Trump alisema aliyapenda...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
vyombo vya magharibi vimeripoti kwa mara nyingine tena kuwa korea ya kaskazini imefanya jaribio la kurusha kombora la masafa marefu lakini jaribio hilo limefeli. na hii ni kwa mara ya nne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maafisa wa Marekani na Korea Kusini wamesema jaribio la kombola la korea Kaskazini limefeli kwani kombola hilo lilianguka punde tu mara baada ya kupaa angani.Maafisa wa Marekani wamesema kombora...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea , huyu Kim wa Korea atakuja kujutia kwa kuwa kichwa ngumu, Sababu za kwanini nauona mwisho wa kimu, zipo sababu kuu nne 1. Wanorth Korea wamechoka na utawala wa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Usiku wa Leo Marekani inatarajia kufanya majaribio kwa kombora lake la nyuklia Minuteman III kuangalia ufanisi, utayari na usahihi wake katika kupiga sehemu husika.Jaribio hilo litafanyika kwenye...
11 Reactions
73 Replies
14K Views
huu ni uzembe ulio pitiliza kwa jeshi la urusi. kama meli tu ya ujasusi. imegonga meli nyingine ya mizigo na kuzama kama mtumbwi. na je vikitokea vita na marekani itakuwaje. na mmarekani yeye...
2 Reactions
71 Replies
10K Views
Kunaendelea kukucha sasa maseneta wote wameitwa white house kujiandaa na Korea The entire U.S. Senate has been invited to the White House for a briefing Wednesday on the North Korea situation...
2 Reactions
76 Replies
9K Views
Donald Trump aliingia ofisini akiahidi kubadilisha sura ya siasa za Marekani na kurejesha madaraka kwa raia. Kufikia sasa, amefanikiwa kufanya nini? Tunafuatilia maendeleo ya rais kwenye ajenda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkutano mkubwa wa nchi za Asia yaani maarufu kama "ASEAN" unafanyika leo mjini manila nchini Ufilipino, mada itakayotawala katika mkutano huo itakua kujadili mgogoro wa Korea Kaskazini na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Star Wars tunahuzunika kwa kifo Cha Princess Leia (jina lake kamili Carrie Fisher). Amefariki akiwa na umri wa miaka 60. May the force be with you Princess Leia R.I.P
9 Reactions
98 Replies
18K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa taifa hilo kuhutubia muungano wa wanaharakati wa uhuru wa kumiliki bunduki, NRA, baada ya kipindi cha zaidi ya miaka 30. Akiongea hapo...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Mahakama ya kiislamu imeiomba msamaha Israel kwa mashambulizi yaliyotokea kati yao ana kwa ana. Israel's former defence minister has said that the Islamic State group "apologised" to Israeli...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
SIERRA LEONE: Rais Ernest Bai Koroma amesema mwakani na ataondoka madarakani na kukabidhi madaraka kwa amani kwa mrithi wake. ========= President Ernest Bai Koroma of Sierra Leone said Thursday...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Nchini Singapore kampuni ya soda ya CocaCola imetengeneza mashine maalum ambazo ukizikumbatia zinakuwezesha kupata soda ya bure 'automatically'. Mashine hiyo unapoikumbatia inatoa soda bure na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Image captionRex Tillerson (kulia) na balozi wa Marekani kwenye UN Nikki Haley, wakiwa kwenye mkutano Marekani iko tayari kwa mazungumzo na Korea Kaskazini yenye lengo la kuondoa zana za nuklia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
how many hours before ika collapse kisha collapse hiyo kaeni staby before zingine zikaanza kuanguka na jana bosi wa British Airways alisema kuwa kuna mashirika kama 50 hivi ya ndege dizaini...
0 Reactions
172 Replies
26K Views
Back
Top Bottom