Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,171
Kwa Taarifa zilizotufikia Hivi punde ni kwamba Raisi wa marekani Dolnad Trump amewaambia wajumbe kua kuisuluisha Korea ya kaskazini kwa njia ya kidiplomasia ni vigumu kuwafikia. Je ni nini atakifanya? Mimi na wewe hatujui. Lakini hali ya wasi wasi imezidi kutanda Chanzo ni BBC FOX NEWS ALJAZEERA