USS michigan nuclear powered submarine

USS michigan nuclear powered submarine

Ngixolele Umoya

Senior Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
108
Reaction score
142
C & P
Submarine ya Marekani iliyoingia rasi ya Korea leo tayari kabisa kwa vita endapo itatokea...., Ina urefu wa mita 170 zaidi ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu, ni manuari ya kwanza duniani kutengenezwa kwa chuma, uzito wake ni tani 18,750, na upana wa mita 13... Ina kitendanisho cha Nyuklia. Ina uwezo wa kufyatua makombora 154 ya balistikali (Ballistic) kwa wakati mmoja. Ina uwezo wa kukaa chini ya maji bila kutokeza juu kwa muda wa siku 60 mfululizo, inazama umbali wa kina cha mita 240 (800 feet) chini ya bahari..., Mwendokasi wake ni km 46 kwa saa, Umeme wake wa kuiendesha sasa 'mmmmmh' zaidi ya ule tunaoutumia jiji zima la DSM kwa siku..., Inahitaji umeme wa zaidi ya Megawati 45 kufanya kazi (General Dynamics Electric Boat) ...., Inahudumiwa na maofisa 15 wa jeshi la Navy la Marekani na wengine 140 wanajeshi wa kawaida...., With 4 × 21 in (533 mm) torpedo tubes., and 154 × BGM-109 Tomahawks in 22 groups of seven..
Inaitwa USS Michigan nuclear powered submarine. (SSGN-727)..,
The courtesy of Josephat K. Nyambeya
d0a59b20d3d0a854d03ea4776641e295.jpg
333f7b0751b1efcaf43495abc3260283.jpg
 
Ni nyoka wa kibisa huyo kwa Korea ya kaskazini! Tayari marekani keshaogopa vita pamoja na kumiliki madude ya kivita! Marekani waoga! Baada ya kikao cha juzi cha senate kilichofanyikia white house ambapo waliambiana ukweli kuhusu uwezo wa kivita wa Korea ya kaskazini na kuzijadili options zote mezani, waliamua kuachana na option ya kutumia nguvu za kijeshi na kuchagua kutumia "njia za amani" ona maamuzi yao kwa mujibu wa BBC:
"The United States seeks stability and the peaceful denuclearisation of the Korean peninsula," said a joint statement issued by Secretary of State Rex Tillerson, Defense Secretary Jim Mattis and Director of National Intelligence Dan Coats.
Vitisho vyote vya marekani kwishney!
Tunasema siku zote NK ni mziki mwingine!
Marekani kaona NK si sawa na Iraq au Libya!
Mazoezi ya kivita yanayofanyika Korea ya kusini ni kama ngoma ya kibisa! Majoka mengi na makubwa lakini hayana meno! Ndo maana dogo wa mapank hana mbavu kwa kucheka!
 
BETTER US SHRINK TO AVOID CATERSTROPHY FOR BOTH PARTIES AT LOGGER HEARDS AND THE WORLD AT LARGE,I SALUTE US FOR ITS WISE DECIION AT THIS JUNCTURE AND CALL UPON WITHDRAWAL OF ITS WAR MACHINES FROM KOREAN PENNINSULAR WITHIMMIDIATE EFFECT SIGNIFYING MATURITY
 
Back
Top Bottom