mmh hadi naogopa mkuuYaani huu mwaka uishe tu. Kila ukisoma news ni fulani hayupo.
Naomba Mungu mwakani kuwe tofauti .
KIFO HAKIKWEPEKI....NA SISI TUKO KWENYE FOLENIinatisha mkuu.
Zimebaki siku tatu tu.
Tuombe ziishe bila majanga tena kwa kweli .
Safari yetu sote.Hatuna jinsi na Sisi tusubirie zamu yetu
Kwa wale wapenzi wa Star Wars tunahuzunika kwa kifo Cha Princess Leia (jina lake kamili Carrie Fisher).
Amefariki akiwa na umri wa miaka 60.
May the force be with you Princess Leia R.I.P