comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Mkutano mkubwa wa nchi za Asia yaani maarufu kama "ASEAN" unafanyika leo mjini manila nchini Ufilipino, mada itakayotawala katika mkutano huo itakua kujadili mgogoro wa Korea Kaskazini na Marekani, huo ni mkutano wa kwanza wa kimataifa kufanyika nchini humo na utaongozwa na Rais wa Ufilipino Rais Rodrigo Duterte