Jeshi la maji la Irani lakabidhiwa cruise Missiles

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292
Jeshi la maji la Iran mwishoni mwa wiki hii lilikabidhiwa makombora ya cruise missiles yenye uwezo mkubwa wa kutungua manowari. Makombora hayo yanauwezo wa kuzipoteza rada maboya ili zisijue kuwa yanakuja, na hatimaye kuishtukiza manowari na kuilipua. Mabomu hayo yamezalishwa na Wairani wao wenyewe!.

Habari zaidi hapa chini:

Iran's special naval forces were equipped this weekend with new anti-ship cruise missiles capable of advanced precision and rapid deployment in the tense Gulf waters where occasional run-ins with the U.S. military have drawn international attention.

A large quantity of the natively produced projectiles, known as Nasir, were handed over to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps Navy (IRGCN), the maritime branch of Iran's elite military forces that take command from the country's religious leadership rather than its political, in a formal ceremony held Saturday. The event was attended by the nation's top military brass including Defense Minister Brigadier General Hossein Dehghan and IRGCN Commander Rear Admiral Ali Fadavi.
 
Ni suala tu la muda huko mashariki ya kati kutawaka moto maana naona kila nchi inafanya maandaliz
 
Hhhhh si Mrusi si NK si Iran si nani yeyote Yule kila akitengeneza au kutest silaha zake lazima waintangazie dunia kuwa hizi zinaweza kuwadhibiti US na Israel bila hivyo bas silaha yake ni fake Hhhhhh hizi Nchi mbili bila shaka ndo wanaendesha dunia... Kubali ukatae Zionist and US ni wazee wa show za kibabe
 
Umeniwahi nilichotaka ongea mkuu...
 
Picha muhimu
9ce60d0c0d6c22932ed89e185383f0ca.jpg
 
Hizi Silaha zikifika mikoni mwa Hezbollah itakua hatari sana ndomaana Israel anafanya juu chini kuhakikisha Anti ship missiles na air defence made from Iran don't reach Hezbollah kwani ktk vita ya 2006 kati ya Israel na Hizbollah, Israel ilipoteza warship yake baada ya kutandikwa na Antiship missile supplied by Iran na kuua wanamaji was Israel....Antiship zipo za aina nyingi ila aina ya Cruise missile nikua inapaa karibu sana na maji au ground hivo kufanya Radar au air defence kushindwa kuzitungua maana zinakua zipo usawa wa kawaida kabisa chini tofauti na anti ship au ballistic missile zinazopaa kwa juu hivyo kuonekana kwa radar
 
Ni bora nchi nyingi ziwe na silaha za kutisha ikiwezekana nyuklia ili tuogopane. Kwa maana tutaishi kwa kuheshimiana na hakutakuwa na ubabe WA kijinga.
Ni kweli kabisa maana kila nyumba ikiwa na demu mzuri, hakuna wa kumtongoza wa mwenzake; maana kila mtu ataogopa naye kupigiwa/kutongozewa
 
Ni bora nchi nyingi ziwe na silaha za kutisha ikiwezekana nyuklia ili tuogopane. Kwa maana tutaishi kwa kuheshimiana na hakutakuwa na ubabe WA kijinga.
Mngeanza kwanza kupigania sheria kwa serikali iruhusu kila mtanzania amiliki silaha ya moto hata kwa vichaa half hpo ndo utajua kwann kanga hana manyoya shingoni
 
Jeshi la maji la Iran mwishoni mwa wiki hii lilikabidhiwa makombora ya cruise missiles yenye uwezo mkubwa wa kutungua manowari. Makombora hayo yanauwezo wa kuzipoteza rada maboya ili zisijue kuwa yanakuja, na hatimaye kuishtukiza manowari na kuilipua. Mabomu hayo yamezalishwa na Wairani wao wenyewe!.

Habari zaidi hapa chini:

Iran's special naval forces were equipped this weekend with new anti-ship cruise missiles capable of advanced precision and rapid deployment in the tense Gulf waters where occasional run-ins with the U.S. military have drawn international attention.

A large quantity of the natively produced projectiles, known as Nasir, were handed over to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps Navy (IRGCN), the maritime branch of Iran's elite military forces that take command from the country's religious leadership rather than its political, in a formal ceremony held Saturday. The event was attended by the nation's top military brass including Defense Minister Brigadier General Hossein Dehghan and IRGCN Commander Rear Admiral Ali Fadavi.
Source of radio Iran
Awa jamaa wanakuwa waongo sana
 
Hhhhh si Mrusi si NK si Iran si nani yeyote Yule kila akitengeneza au kutest silaha zake lazima waintangazie dunia kuwa hizi zinaweza kuwadhibiti US na Israel bila hivyo bas silaha yake ni fake Hhhhhh hizi Nchi mbili bila shaka ndo wanaendesha dunia... Kubali ukatae Zionist and US ni wazee wa show za kibabe
Vipi maza bomb ishatua Pyongyang? Tunasubiria kwa hamu au semina elekezi za maseneta hazijaisha?
 
Back
Top Bottom