International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ni wazi kwamba suala la mapenzi ya jinsia moja limekuwa likishamiri katika dunia ya leo hasa ushoga(mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume). Ni dhahiri kwamba kimaadili (kiimani na kiroho) ni jambo...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
Jimbo la Catalonia inapatikana kaskazini mashariki ya Spain ni moja ya jimbo ambalo linapigana kujiengua na kudai Uhuru wao.Ni miaka sasa tangu Catalonia kudai haki yao ,tukiangaazia nyuma...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Watafiti wa mambo ya kimitandao wanasema shambulio la kimitandao lililoathiri nchi zaidi ya 150 duniani linaweza kuwa lilifanywa na Pyongyang au Kuna watu wameiframe ionekane wao ndio wahusika...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
CIA Establishes Korea Mission Center May 10, 2017 The Central Intelligence Agency (CIA) has established a Korea Mission Center to harness the full resources, capabilities, and authorities of the...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
DEB RIECHMANN,Associated Press 9 hours ago Reactions Sign in to like Reblog on Tumblr Share Tweet Email WASHINGTON (AP) — President Donald Trump revealed highly classified...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
DEB RIECHMANN,Associated Press 9 hours ago Reactions Sign in to like Reblog on Tumblr Share Tweet Email WASHINGTON (AP) — President Donald Trump revealed highly classified...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Jeshi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limesema kuwa zaidi ya watu mia tano wameuawa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama na vile vinavyoipinga serikali tokea mwishoni mwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Among the findings: The United States has the best-equipped military on the planet. Both Russia & China have been modernizing their armed forces, and while their equipment still lags behind...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Donald Trump amemfuta kazi mkurugenzi wa shirika la ujasusi la FBI kutokana na hatua yake ya kuliangazia swala la barua pepe za aliyekuwa mgombea wa uraisi wa chama cha Democrat Hillary...
9 Reactions
132 Replies
15K Views
C-17 Globemaster Dege la kwanza la Marekani maalumu kwa usafirishaji wa mizigo ya kijeshi lawasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben-Gurion nchini Israel likiwa limebeba mamia ya tani za...
15 Reactions
94 Replies
15K Views
Mkuu wa jeshi nchini Ivory Coast amesema jeshi limeanzisha operesheni maalumu ya kurudisha hali ya utulivu katika mji wa pili kwa ukubwa wa Bouake ambao ulikuwa chini ya wanajeshi ambao wamekwenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The Communications Authority of Kenya if therefore advising the public to beware and put in place the following preventive measures on the "WannaCryptor" Ransomware Cyber Attack. i. Ensure that...
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Maafisa wa magereza nchini Papua New Guinea, wamewapiga risasi na kuwauwa wafungwa 17, ambao walivunja gereza na kutoroka siku ya Ijumaa. Polisi wamewatia mbaroni wafungwa watatu, huku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa muda wa siku 3 kuna watu wamefanya mashambulizi makubwa ya kuvuruga files nyingi kwenye computers ya makampuni na taasisi nyingi za kiserikali sehemu nyingi duniani. Leo hao wahalifu...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Spika wa Bunge lenye wapinzani wengi nchini Venezuela, Julio Borges amelitaka jeshi la nchi hiyo kuanzisha mazungumzo na kusaidia kupata suluhu ya mgogoro wa kisiasa. Jeshi linamtii rais wa nchi...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Ikitokea Marekani na nchi za ulaya zikatungiza kwenye vita ya tatu ya dunia ( tuteme mate chini) World war III , kuna uwezekano mkubwa Africa ikapata wakimbizi wa kizungu kwa mara ya kwanza katika...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii regime ya Trump haijui kabisa ilifanyalo kwenye hili suala la executive order ya uhamiaji aliyoisaini wiki hii. Mara huyu aseme hivi...mwingine naye anakuja anasema hivi...full mparaganyiko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki ameamua kususia kula chakula ili kuonyesha mshikamano na uungaji mkono wake kwa Wapalestina waliosusia kula katika magereza ya utawala wa Kizayuni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Raisi mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron na raisi anaeondoka Francois Hollande wakipunga mikono kwa wananchi. Emmanuel Macron ambae aliwahi kuwa mfanyakazi wa zamani wa benki, leo ameapishwa rasmi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz Aal Saud amewaalika wakuu wa nchi 17 kwenda kuonana na Donald Trump, wakati rais huyo wa Marekani atakapokuwa ziarani nchini Saudia. Trump anatarajiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…