Kufanikiwa kwa jaribio la nyukilia kwa 100% ni kushindwa kwa mpango wa USA?

The CIA

JF-Expert Member
May 5, 2017
479
479
CIA Establishes Korea Mission Center

May 10, 2017

The Central Intelligence Agency (CIA) has established a Korea Mission Center to harness the full resources, capabilities, and authorities of the Agency in addressing the nuclear and ballistic missile threat posed by North Korea.

The new Mission Center draws on experienced officers from across the Agency and integrates them in one entity to bring their expertise and creativity to bear against the North Korea target.

A veteran CIA operations officer has been selected as the new Assistant Director for Korea and presides over the Mission Center. The new Mission Center will work closely with the Intelligence Community and the entire U.S. national security community.

“Creating the Korea Mission Center allows us to more purposefully integrate and direct CIA efforts against the serious threats to the United States and its allies emanating from North Korea,” said CIA Director Mike Pompeo. “It also reflects the dynamism and agility that CIA brings to evolving national security challenges.”

# # #


Posted: May 10, 2017 03:41 PM

Last Updated: May 10, 2017 03:41 PM

Korea Kaskazini imesema kwamba kombora la masafara marefu ililolifanyia majaribio siku ya Jumapili linauwezo wa kubeba kichwa cha nyuklia .
Kombora hilo lilienda angani urefu wa kilomita 2,000 na kusafiri kilomita 700 kabla ya kuanguka katika bahari Magharibi mwa Japan.
Majaribio ya mara kwa mara ya makombora ya masafa marefu yanayofanywa na taifa hilo yanakiuka vikwazo vya Umoja wa Mataifa na yamesababisha wasiwasi miongoni mwa jamii ya kimataifa.
(picha:Reuters)
FB_IMG_1494841811437.jpg


Mission Impossible?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Team mapanki tuko juu!! Yan usa ana nuclear weapons alafu hatak wenzake wawe nazo si ujinga huu??

Anachokifanya ni sawq na GOT,inakagua vyeti fake kwa watu inaowalipa kiduchu,na kuwaacha wale inaowalipa mahela mengi.
US kumiliki
Wenzie
 
Siku Kenya wakikamilisha kumilki nuclear, Tanzania ikiwa bado inakomaa na magobore ya kuwindia ngurue pori watanzania nanyi mtaanza kulialia kama South Korea na japani!
 
Back
Top Bottom