Kuna uwezekano mkubwa Africa ikapata wakimbizi wa kizungu

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,826
1,730
Ikitokea Marekani na nchi za ulaya zikatungiza kwenye vita ya tatu ya dunia ( tuteme mate chini) World war III , kuna uwezekano mkubwa Africa ikapata wakimbizi wa kizungu kwa mara ya kwanza katika historia ya kuumbwa kwa dunia..... kemeaaaaa
 
acha waje tu wazaliane kwa raha zao wanaweza kuleta maendeleo maana rangi nyeusi kama imelaaniwa vile
 
WWI ilinyanyua mataifa ya ulimwengu wa kwanza kama USA, Russia, GB, n.k

WW2 ikanyanyua mataifa ya ulimwengu wa pili kama China, Israel, India, Brazil, Korea n.k

WW3 inategemewa kunyanyua nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania.

Kila mtu aseme Inshalla!!!
 
kweli kabisa......insha Allah
 
haitakaa itoke hakuna world war III hapa na wala hakuna wakimbizi wazungu. makombora ya kipanki yalishaanza kufeli dalili ya kwamba God has see us through ndo maana anaogopa kupigana na hofu iendelee kuwakalia hivo hivo maana hakuna mwenye hati miliki ya dunia hapa ya kuamua wanavyotaka. hakuna vita, hakuna vita, hakuna vita
 
Back
Top Bottom