Ni wazi kwamba suala la mapenzi ya jinsia moja limekuwa likishamiri katika dunia ya leo hasa ushoga(mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume).
Ni dhahiri kwamba kimaadili (kiimani na kiroho) ni jambo la kuudhi na kuchukiza kwani kuna muda unajiuliza hivi Mungu alikosea kumuumba mwanamke hata tukengeuke na kufanya uchafu huu?
Jambo la kushangaza ni pale unapokuta viongozi wakubwa kisiasa (ambao tunaamini wana akili kubwa pia) wanaunga mkono upuuzi huu na kuutetea. (ref marekani,uingereza nk).
Hata wasomi walio ndio wengi wanaanzisha asasi za kutetea huu uchafu. Nabaki kujiuliza ni kwa nini?
Kuna connection yoyote kati ya siasa, elimu na huu ujinga? NAOMBA WANA JF TUTIZAME HILI NA TUWE MSTARI WA MBELE KULIKEMEA.