Wadukuaji (Hackers) Waomba Fidia kusimamisha kuvuruga mitandao

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Kwa muda wa siku 3 kuna watu wamefanya mashambulizi makubwa ya kuvuruga files nyingi kwenye computers ya makampuni na taasisi nyingi za kiserikali sehemu nyingi duniani.

Leo hao wahalifu wamewatumia hao walioharibiwa na ambao hawajaharibiwa madai ya kupewa pesa ili waache kuharibu hizo computers. Baadhi ya makampuni kama NHS ya UK, Renault, FedEx, Telefonica miundo ya mitandao ya computers zao zimeharibiwa.

Ningependa mtaalamu yeyote wa masuala haya anifahamishe hizo pesa za malipo zitalipwaje kwani wakitumia benki au kupokea mojamoja itakuwa rahisi kukamatwa.

Kwa kosa hili sehemu nyingi huwa ni kifungo cha miaka mingi jela.
---------------

Global ‘ransomware’ attack slows; hackers hit hospitals for cash

LONDON (AP) — A global “ransomware” attack, unprecedented in scale, had technicians scrambling to restore Britain’s crippled hospital network Saturday and secure the computers that run factories, banks, government agencies and transport systems in many other nations.

The worldwide cyberextortion attack is so unprecedented, in fact, that Microsoft quickly changed its policy, announcing security fixes available for free for the older Windows systems still used by millions of individuals and smaller businesses.

After an emergency government meeting Saturday in London, Britain’s home secretary said one in five of 248 National Health Service groups had been hit. The onslaught forced hospitals to cancel or delay treatments for thousands of patients, even some with serious aliments like cancer.

Home Secretary Amber Rudd said 48 NHS trusts were affected and all but six were now back to normal. The U.K.’s National Cyber Security Center said it is “working round the clock” to restore vital health services.

More, visit > Global 'ransomware' attack slows; hackers hit hospitals for cash
 
Bitcoin Ni nini . Bitcoin ni fedha kama zilivyo fedha nyingine kama USD, TSH,
KES nk. Hivyo unaweza kutumia
Bitcoin kufanya miamala ya kifedha duniani kote kwa
gharama nafuu.

Tofauti ya Bitcoin na fedha nyingine za kawaida nikwamba
Bitcoin ni kidigitali(Digital Currency/ Cryptocurrency).

Tukisema Bitcoin ni Digital Currency tunamaanisha kuwa
fedha hii inaonekana kwenye namba tu, na hiyo namba ndio
inabeba thamani yake. Mfano ukiwa na salio Tigopesa au M-
Pesa ile ni namba tu inayobeba thamani ya pesa..

Kwasasa thamani ya Bitcoin 1 ni sawa na fedha ya Kitanzania
*2,500,000TZS. Kwanini Bitcoin ina thamani kubwa na ni fedha ya kipekee?

Bitcoin hupanda thamani na kuwa ya kipekee kutokana na
sifa zifuatazo; -

(1)
Fedha hii halimilikiwi na serikali yoyote duniani hivyo huifanya isiathirike na mtikiso wa uchumi duniani.
 
-Ukitumia fedha hii unajihakikishia uhuru wa faragha kwa maana hakuna mtu yoyote atakayeweza kudukua miamala yako yakifedha sababu kila muamala utakaoufanya unakua
na address mpya hivyo inaweka ugumu kufatilia fedha imetoka
kwanani na inaenda wapi.

-Gharama ndogo sana za kufanya miamala kwenda sehem yoyote duniani huifanya pesa hii kuwa adimu sana.

-Huwezi kughushi fedha hii, haiwezekani kwa mtu yoyote
kutengeneza fedha hii isipokua kwa utaratibu maalum(bitcoin
mining). Haya yote yamewezekana kwa kugundulika kwa
technology mpya duniani iitwayo
blockchain technology (digital ledger) daftari la kumbukumbu la
kidigitali linalohifadhi miamala (transactions) na kutunza kumbukumbu automatically bila
uhitaji mtu wa kati(middle man).
 
-Ukitumia fedha hii unajihakikishia uhuru wa faragha kwa maana hakuna mtu yoyote atakayeweza kudukua miamala yako yakifedha sababu kila muamala utakaoufanya unakua
na address mpya hivyo inaweka ugumu kufatilia fedha imetoka
kwanani na inaenda wapi.

-Gharama ndogo sana za kufanya miamala kwenda sehem yoyote duniani huifanya pesa hii kuwa adimu sana.

-Huwezi kughushi fedha hii, haiwezekani kwa mtu yoyote
kutengeneza fedha hii isipokua kwa utaratibu maalum(bitcoin
mining). Haya yote yamewezekana kwa kugundulika kwa
technology mpya duniani iitwayo
blockchain technology (digital ledger) daftari la kumbukumbu la
kidigitali linalohifadhi miamala (transactions) na kutunza kumbukumbu automatically bila
uhitaji mtu wa kati(middle man).
Asante kaka jambazi. Nina kaswari kamoja. Hii bitcoin unaiconvet vip kuwa na hela ya kushikika?
 
Back
Top Bottom